ROSE'S DAY....

Bride                           ::Rose Mbaga
Event                          ::Rose Day
Venue                         ::Msasani Tower
Color                           ::Mix Color
Decor                          ::Henjewele Decor
Caterer                        ::Mariam Twahir
Ent.                             ::Gusagusa Min Band
Photographed by        ::Mashughulimedia - +255655426100
 YAP!!! ROSE DAY, PENDEZA SANA ROSE SHUGHULI PAMBE SANA WAALIKWA TULILISHWA KUANZIA CHAKULA CHA MCHANA, CHAI YA JIONI A DINNER, LIVE BAND GUSAGUSA MIND BAND LIVE, SOMO NA PAMBE YAKE MMEFUNIKA SI KWA NGUO NZURI NA SWAGA ZA KIAFRIKA, JAMANI BI HARUSI KATUNZWA KWA MWAKA HUU NDIO SHUGHULI YANGU YA KWANZA WATU WAMECHEZA NA PESA KAMA ENZI ZILE..., ROSE AMTUNZA SOMO YAKE MADINI......
CHARMING BRIDE....
QUEENING...
SO FINE, ROSE
PRETTY BRIDE!!!
FLAWLESS MAKEUP BY RAFIYA
DECOR.....///
 ZAWADI YA SOMO
 CAKE
LIVE TAARAB GUSAGUSA MIN BAND
MC JAMILA KITIMTIM
ROSE AKIINGIA UKUMBINI NA SOMO NA PAMBE YA SOMO
SOMO OG SHARIFFA KAVU NA PAMBE YAKE PENDEZA SANA
MR. KWAME AKIINGIA
ROSE AKIMPOKEA MUME WAKE....
 ROSE AKIMTAMBULISHA MUME WAKE...
 SALA...
 KAMATI.... IKIONGOZWA NA MWENYEKITI
MRS SELINA KOKA
ASHLEY....
MR & MRS KWAME WAKIKATA CAKE
 YES NZURI....
 CHAMPAGNE
 LUNCH BY MARIAM TWAHIR
ROSE AKIINGIA NA KIVAZI CHA PILI


 MWARI AKIFICHULIWA....
SUBIRA JUNIOR WAKIMFICHUA MWARI
 PAMBE YA SOMO WAKIMFICHUA MWARI
MASOMO MMETISHA KWA VIVAZI....HONGERA SHARIFFA KAVU
 SUBIRA GROUP WAKIMTUNZA ROSE
 TATU UMETISHA MWENYEKITI
 KHADIJA MNYIKA
JOKHA SIMBA AKIMTUNZA ROSE
 TATU LUMELEZI MWENYEKITI AKIONGEA
 SUBIRA GROUP WAKIMTUNZA MWANACHAMA MWENZAO ROSE
MAMA TAMBA
MWANAASHA AKIMTUNZA ROSE
MARIAM MKWECHE, MAMA TAMBA & ROSE
 ROSE AKIKOSHWA NA MADINI
 HAJAAT RAHMA KISMAT AKITUNZA
 PILI PASCAL AKIMTUNZA ROSE
 SUBIRA JUNIOR WAKIMTUNZA DADA YAO ROSE
 SALAMA KINGUI AKITUNZA
 SHARIFFA HASHIM AKITUNZA
FATMA NDUNYU AKITUNZA
 SALAMA KIZUA AKITUNZA
TATU LUMELEZI AKITUNZA
 KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI YA FLAT SCREEN
 SOMO NA PAMBE YAKE WAKIKABIDHI ZAWADI SOMO ORIGINAL (OG) SHARIFFA KAVU AKIKABIDHI VYOMBO 
 MWARI NA SOMO
SOMO NA PAMBE YAKE
 ROSE AKIWATUNZA MASOMO WOTE HAPANA CHEZEA BATIKI ZILE ZA UKWEE'E
 SOMO SHARIFA KAVU AKIWAPA ZAWADI YA KHANGA PAMBE YAKE 
 ROSE AKIMTUNZA SOMO YAKE MADINI
 ROSE AKIMKOSHA SOMO YAKE NA MAHELA...
MAMA D AKIMTUNZA SOMO
 HUSNA MADOHORA SI KWA MPASUO HUO... AKIMTUNZA SHOSTI WAKE SHARIFFA
SAADA & SHARIFFA WAKITUNZWA
 SAADA, AKITUNZWA PAMOJA NA SOMO
MWASHABANI NDOVU AKIMTUNZA SOMO
MAMA D AKWATUNZA SAADA & SHARIFFA KAVU
SALMA NYANGASA & FRIEND
KAPU LA MAMA
CAKE YA PILI
2ND CHAMPAGNE
MR & MRS KWAME
NYUSO
MAMA D, ROSE & SOMO SHARIFFA
MARIAM TWAHIR & ROSE
KHADIJA MNYIKA
MISHY & MARY
PAMBE YA SOMO MLINOGA SANA
BIBIE LUMELEZI & WANA SUBIRA 
HAPPY PEOPLE
HUSNA MADOHORA & TABU MABOBISHI
ROSE & MAMA MDOGO
DIRECTOR OF VIRGO MISHY
KHADIJA MNYIKA & KAMPANI
JOKHA, MWANANA MANZI & MKWE
MAMA IYA & FRIEND
MY BESTIE MARY TEMBA
HAFSA RAMADHAAN
HUSNA MADOHORA, HUSNA WAZIRI & KHADIJA ROEZELLA
JOKHA, ROSE & SHARIFFA
MIE & MY SISTERZ SHARIFFA & SALMA
SUBIRA GROUP
SAADA, I, KHADIJA ROZELLA, TABU MABOBISHI & ZAKIA
REHEMA SUNDAY
ZAKIA & SAADA MABESTIE
HAJAAT RAHMA KISMAT  & FRIEND
I & MY CLASSMATE SELINA KOKA, DIRECTOR OF AKO CATERING
KAMATI....
 KHADIJA & I

PAMBE YA SOMO
FRM: L JAMILA, FATMA, SHARIFA & FRIEND
MARIAM MKWECHE, SALMA KINGUI & SHARIFA HASHIM
HAPPY & SHARIFFA
MC JAMILA, HAPPY, HELLEN, SELINA & ASHLEY
MISHY
SAADA
ZAKIA 
FATMA KAVU
JAMILA FROM DUBAI
SHARIFFA KAVU
ASHLEY
ARAFA TAMBA, ROSE & HAPPY BAGHDELA
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment