SHEREHE ZA MAHAFALI YA PREMIER GIRLS SECONDARY KIDATO CHA NNE 2017

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE PREMIER GIRLS YAMEFANA KWELIKWELI, WADAU NIKISEMA WAMEJENGEKA NAOMBA MNIAMINI WASICHANA WANA CONFIDENCE YA KUTOSHA, WAMEANDALIWA KATIKA FANI MBALIMBALI PAMOJA NA SANAA, MICHEZO MASHUGHULIBLOG OFFICIAL PHOTOGRAPHER WA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE 2017 NA HICHI NDICHO TUMEWALETEA WAZAZI WENZANGU,  MANDHARI YA SHULE NI YA UTULIVU WA KUTOSHA, MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI HAYA NI MH. MBUNGE WA BAGAMOYO SHUKURU KAWAMBWA

PREMIER SECONDARY SCHOOL IS GIRLS SCHOOL PROVIDING FOR BOARDING ONLY. OUR AIM IS TO PROVIDE ALL ROUND EDUCATION THAT EMPOWERS GIRL CHILD TO MEET ALL CHALLENGES OF LIFE. WE TRAIN OUR GIRLS TO DEVELOP NEW AND BETTER IDEAS INSTEAD OF MERELY RECORDING HISTORY MADE BY OTHERS. IT IS THEREFOR OUR PROMISE THAT PARENTS WON'T BE DISAPPOINTED WHEN THEY ENTRUST US THEIR CHILDREN 

SCHOOL LOCATION:: KIROMO (KIBAONI) BAGAMOYO, TANZANIA. KIROMO IS IN BAGAMOYO DISTRICT IN PWANI REGION ABOUT 50KM FROM DAR ES SALAAM AND 8KM FROM BAGAMOYO

CONTACT:: +255713760616 / +255654400064

SCHOOL WEBSITE:: PREMIERGIRLSSECONDARY (BONYEZA LINK)MGENI RASMI MH. MBUNGE SHUKURU KAWAMBWA AKITEMBELEA MAHABARA YA SHULE
WAHITIMU WAKIINGIA...
WIMBO WA TAIFA
UTAMBULISHO
WAHITIMU WAKISOMA RISALA YAO...
WAHITIMU WAKIWAPA ZAWADI WALIMU WAO KWA KAZI NZURI WALIOFANYA
MADAM AISHA AKIFURAHIA ZAWADI YAKE YA TSHIRT

WANAFUNZI WA PRIMIER PRIMARY SCHOOL WAKITUONYESHA WALIVYOBOBEA KIMASOMA ZAIDI
MADAM AISHA MZEE MKURUGENZI WA PREMIER GIRLS SECONDARY AKISOMA RISALA YA SHULE
MUWAKILISHA WA WAZAZI WANAOHITIMU
MGENI RASMI MAHAFALI HAYO MH. MBUNGE WA BAGAMOYO SHUKURU KAWAMBWA AKISOMA RISALA
 WAFANYAKAZI BORA WAKIPEWA VYETI
 WAHITIMU WALIOFANYA VINZURI KATIKA MASOMO MBALIMBALI WAKIKABIZIWA VYETI
NYUSO
MADAM ASHURA
WANAFUNZI WA PREMIER PRIMARY & NUSERY SCHOOL
MASHAALAH MGENI NA MUME WAKE MDACHI KWENYE MAHAFALI
MAMA NA MWANA MASHAALAH
BABA NA MWANA
FAMILY
MAMA NA MWANA MASHAALAH
MKUREGENIZ WA KATANI LTD SALIM SHAMTE AKIWA NA MKE WAKE WARDA WAKIMPONGEZA BINTI YAO
HONGERA SANA BINTI YAKE WARDA SHAMTE
BEAUTIFUL...
ESTER
NDUGU YANGU MGENI NA KIJANA WAKE MASHAALAH

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment