Bride :: Rehema
Groom :: Mfaume
Event :: Wedding Reception
Venue ::
Makeup :: Makeupby
Color :: Pink & Light-Blue
Photosby :: Mashughulimedia - +255655426100
MFAUME & REHEMA WEDDING RECEPTION, YES BAADA YA LONG WEEKEND MASHAALAH PENDEZA SANA, SHUGHULI PAMBE SANA...ZAMA KUONA PICHA ZOTE
NEW COUPLE
BEAUTIFUL BRIDE
LOVELY....
MFAUME NA BABAMZAZI
BABA MZAZI WA BWANA HARUSI AKIWA NA MAHARUSI
MH. ZUHURA & LATIFA PAMOJA NA WIFI YAO REHEMA
DECOR....
MC MASSANZA KAZINI...
WAKWE WAKIINGIA.....
WAZAZI WAKIIGIA
WAKWE WAKIINGIA
BIHARUSI REHEMA AKIINGIA NA MPAMBE WAKE
REHEMA AKIMPOKEA MUME WAKE MFAUME
REHEMA AKIMVISHA KOTI MKE WAKE
DUA
MWENYEKITI WA KAMATI AKIKARIBISHA WAALIKWA
MAHARUSI WAKIKATA CAKE
WAALIKWA WAKIWASHA MISHUMAA NA KUKATA CAKE MEZANI
REHEMA AKITAMBULISHA FAMILIA
WANAKAMATI WAKIPOKEA ZAWADI YA CAKE TOKA KWA MFAUME & REHEMA
CHAMPAGNE
CHAKULA
MAHARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
MH. ZUHURA & HUBBY
ZAWADI
BABA MZAZI WA BWANA HARUSI AKIONGEA
MH. ZUHURA AKITUNZWA...
WAZAZI WAKITUNZWA
BABA NA MAMA WAKITUNZWA
NYUSO
DADA YAKE BWANA HARUSI MH. ZUHURAA LOOKING SO SWEET
MMENOGAJE
WANAKAMATI PENDEZA SANA
JIRANI YANGU PENDEZA SANA
LATIFA
No comments:
Post a Comment