MFAHAMU JINI MAHABA KATILI MUME AU MKE MWILINI MWA MWANADAMU NA MAISHANI MWAKE

Huyu ni jini hatari zaidi iwapo utakuwa nae mwilini mwako  jini huyu mahaba mkatili ni mkatili kwelikweli hasa katika majini mahaba wote yeye anaongoza kwa ukatili anaposimamia jambo lake atakalo kwako ikiwa atakuwa amesimama usiolewe basi ujue ndoa kwako itakuwa hadithi ufanye lolote lile ukeshe ukitafuta ndoa uipati hata kwa nini jini huyu uvuruga uharibu na kuvunja kila
kitu unaweza kupendwa sana na kNmwanaume kupita neno kupendwa knmapenzi ya hali ya juu lakini amfungi ndoa ukibahatika unaweza kuishi nae miaka nenda miaka rudi bibi na bwana na mkawa na watoto kibao ila hamna ndoa na hamjui kwa nini jambo hilo halitekelezeki muda unakwenda tu na inawezekana mpaka mmoja wenu akaaga dunia hilo lisifanyike jini huyu anaweza kumkorofisha mtu na kumuharibia au kumtesa katika rizki tu au kipato chake kikawa cha kutatanisha jinsi ya uingiaji wake na upatikanaji wake unakuwa wa shida ugumu uzito na tabu sana jini huyu anaweza kufunga njia zote za kupata pesa na kuzipa vikwazo na pingamizi za kila aina jini huyu anaweza kuzifanyia hujuma pesa uingizapo kwako au mikononi mwako zikawa hzina thamani yoyote zikatoka zikaondoka na kupotea bila kufanya cha maana jini huyu anaweza kukuvuruga ukipata tu pesa akakusimamia katika fikra mawazo potofu na kukupa nguvu ya kutenda kitu chochote kile ambacho kitakuporomosha na kuzamisha pesa yote ulioipata jini huyu ukupa nguvu ya kuamini na kukubali mabaya yote utakayo shauriwa na kisha kutekeleza kwa harakaharaka ili uzame jini huyu ni jini mwenye nguvu kubwa sana iwapo ukiwa nae mwilini akikushika kwenye starehe basi wewe ufikirii chochote kingine ufikirii kujenga hata kama pesa hizo za kujengea unazo ufikirii miradi yoyote ya kukuingizia pesa unardhika na starehe tu unaweza kuwa malaya sana wanawake wa kila aina na kila mwanamke anakupenda wewe tu wengine wanfikia kukutongoza na unaweza kuwa mlevi sana zaidi ya mlevi unaweza kuwa malaya kila mwanaume unamtaka wewe leo huyu kesho yule na unaweza kuhonga pesa kwa wanaume tu na unaweza kupendwa sana na wanaume lakini upati kitu chochote unaishia kustarehe tu jini huyu anaweza kukusababishia kuzaa na kila mwanaume lakini upati matunzo yoyote unaachiwa watoto tu bila msaada na ukipata ni kidogo mno jini huyu anaweza kukutia nuksi kali sana ukawa wewe ni wakuhangaika tu upati mume upati bwana upati mtu yoyote wa kukuuliza jini huyu anaeweza kukusababishia kutembea na mwanaume tu anakukimbia ukilala nae tu kosa umuoni tena machoni mwako jini huyu umpa mtu wakati mgumu kwenye mahsiano huwa kelele hakuna maelewano neno dogo linakuwa kubwa amani utulivu huwa hakuna visa vituko migongano ugomvi changamoto nyingi sana jini huyu umkosesha mtu raha na kumnyima haki hata akiwa mume au mke kwenye mahusiano jini huyu umkosesha mtu raha na kumnyima starehe akakosa kufurahia tendo la ndoa kukuosa kufika kileleni kutosikia raha wakati wa tendo au kufika mapema kileleni kutomfikisha mwenza mahali husika kushindwa tendo uume kunywea wakati wa tendo kuwbia na uume legelege uume kukosa nguvu na uwezo wa kutekeleza jukumu kutokwa na hamu kabisa kwa mwanauma au mwanamke kufikia miezi kutofanya tendo japo mpo pamoja kitandani kutokwa na fikra hizo kabisa na kutowazia tendo lenyewe na ukiwazia huwezi kulifanya jini huyu mume umpa kiburi mwanamke umshawishi kufanya nhono nje ya nyumba yake na kumtoa katika heshima ya ndoa au mahusiano umpa dharau kiburi na hata kwa mwanaume jini huyu umfanya awe na michepuko mingi tu na kumkosesha furaha ndani na kumnyima starehe ya nyumbani kwake jini huyu umpa kila mmoja wenu kujiona yupo sahihi kuliko mwenza wake jini huyu uzaa talaka kutengana kuhasiana na kukosana kuchukiana jini huyu anakera sana na ni jini mkorofi zaidi ya majini mahaba jini huyu akisimamia kuvuruga kazi basi wewe utaangaika sana kila kazi ufanyayo haitakuletea lolote utashindwa utakwama utafukuzwa ikiwa umeajiriwa ukiwa umejiajiri utakwama kutekeleza mambo yako kazi zitakukimbia na hakuna kitu kitafaa hapo ulipo utapatwa na majanga mabalaa matatizo misuko suko kazi zitaharibika jini huyu ikiwa katika biashara basi ujue biashara zako zitaharibika utkosa wateja utakosa masoko utakosa wanunuzia utahatibikiwa na vitendea kazi ikiwa vyombo kama magari au pikipiki au pajaji boti au vyombo vya mashina za kufanyia kazi ztaharibika mara kwa mara kutoa kutakuwa kwingi kuliko kupata hasara zitakuandama kuliko faida ukiwa na mipango yako ya kiuchumi nairadi vyote. uvurugika na kukwama kwa kila jambo lako unakosa maendeleo yako na kuwa upo hapohapo tu ulipo unakuwa duni kwa kila kitu unafanya kazi kubwa lakini hakuna faida unahangaika hakuna cha maaana upatacho nguvu inakwisha  ukipata peasa haikai jini huyu ukufanya uki√†hidiwa haiwi ahadi zote zinakwama jini huyu ukushusha thamani ukushusha cheo ukushusha hadhi ukushusha ulipo ukushusha nyota zako ukushusha hata nguvu zako ukushusha umaarufu wako ukushusha mahali popote ulipo na kukuweka chini mara moja jini huyu hatari sana akisimama kwenye kukuchafua utajuta kuzaliwa kabisa anaweza kukuchafua mwili ukawa utamaniki na chchote kile ukadhatauliwa ukakosa pendo hata la nzi kukufuata japo nzi ufuata hata vinavyonuka lakini wewe asikufuate jini huyu akisimamia hilo basi mama alikuzaa hatakupenda na mtoto uliemzaa pia hata kupenda kabisa na atakuchukia na kukusema vibaya ujue tayari jini hyu kasimamia hilo jini huyu uzizsimamia kazi zake azifanyazo mwilini mwa mtu au maishani mwake unaweza kusoma sana au umesoma zaidi unaelimu ya juu kabisa lakini ukakosa kazi au ajira ukawa unahangaika tu hata ukiwa na ujuzi au taaluma yoyote na unavyovigezo husika lakini ukakosa kila uendapo unaambiwa hakuna kazi hata kama ipo au unapewa sababu zozote ambzo wewe utashindwa kuzitekeleza unaweza kuitwa kwenye usahili na ukaonekana kabisa wewe upo vizuri na mwenyewe ukajua hapa lizima nipate likini unakosa ajira ujue kiumbe huyu amesimamia majanga hayo yatokee kwako jini huyu umtia mtu katika matatizo ya madeni na kudhulumwa kunyimwa haki zake kuibiwa kutapeliwa jini huyu umsababishia mtu makesi mengi kufungwa kuhukumiwa au kuwa mahabusu mda mrefu kutofanikisha mambo yake kucheleweshwa kupata haki kukosa usimamizi katika mambo mbalimbali na kutopata vitu vingi muhimu kwake kushindwa shindwa kwa kila jambo jini huyu huwa mkatili sana anweza kumdhuru mtu kwa kumsababishia kuumia kupata ajali kuumwa mara kwa mara kumkosesha vitu mbalimbali kumpa wakati mgumu wa afya yake na kumuharibia tiba na kuivuruga jini huyu umfungia mtu kila kitu akawa hana pa kufanikisha jambo lake lolote  Jini huyu umpa mtu wakati mgumu sana na kuwa mwenye mikosi isiyokwisha na nuksi zisizo za kawaida na matatizo mfululizo yanayomuandama mara hili mara lile kabla halijakwisha linampata lingine zaidi ya lile majini hawa wapo wakutumwa na wakukumba tu mwilini lakini wapo wengine mtu uzaliwa nae na huyo mgumu sana kutoka mwilini Pale anapotaka kutolewa huwa anavuruga tiba au umtafutia jambo muhusika likatokea ili akatize tiba au asieendelee kutibiwa jini huyu umfunga mtu asiwe na ufahamu wa kujua wapi atatibiwa umshawishi kutofanya dawa stahiki na kumtoa katika taratibu husika ya kitiba jini huyu anaweza kumtia mtu misukousuko na majanga wakati wa tiba pia hata kumkosesha pesa ya kujitibia jini huyu kiboko upokea hata uadui kutoka sehemu mbalimbali na kuvuta ubaya na kukaribisha majini wengine wengi wabaya na kuwakarbisha mwilini kwa ushauri tiba maelekezo wasiliana na dr maneno tamba kwa simu namba 0713616069/0784616069/0754616069/0773616069/ au SLP 78168 au fika ofisini kwake magomeni mikumi na barabara ya kawawa dar es salaam karibu ya kituo cha daladala uliza dr tamba utonyeshwa ofisi ilpo pia anatafsiri ndoto na kuchunguza mtu kwa njia ya simu wasiliana nae akisaidie ni mganga maarufu ndani ya nchi na nje ya nchi wengi wamefnikiwa wewe unangoja nini ?  Liwezekanalo leo usingoje kesho 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment