MSAADA WA MATIBABU KWA MWAJUMA NDUNDU!!!!

WENGI TUNAMFAHAMU DADA YETU KIPENZI MWAJUMA NDUDU ANASAUMBULIWA NA MARADHI YA MOYO, KWA MUDA MREFU ANAHITAJI MSAADA ILI AKATIBIWE INDIA, KWA SASA HALI YAKE SI NZURI INAZIDI KUWA MBAYA ANATAKIWA KWENDA INDIA MWISHONI MWA FEBRUARY 2017, HIVYO KAMA NDUGU, JAMAA NA RAFIKI UNAOMBWA KUCHANGIA SAFARI YAKE YA KWENDA INDIA KWA AJILI YA MATIBABU
TUNAOMBA TUMUUNGE MKONO NDUGU, DADA AU MAMA YETU ILI AWEZE KUSAFIRI NA KUPATA MATIBABU

ALLAH AWAPE MARA MBILI ZAIDI KILA ATOAYE KWA MOYO MKUNJUFU

TUMA MCHANGO WAKO KUPITIA NAMBA:: 0713448122 JOKHA KABOTOKA  

KWA MAWASILIANO MWENYEKITI WA KAMATI YA KUOKOA MAISHA YA MWAJUMA NDUNDU NI MARIAM AWADH NAMBA:: 0716263346

KIKAO KINAFANYIKA MAGOMENI KWA ASHA MAPACHA KILA JUMATATU MAGHARIB MAWASILIANO:: 0715775586

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment