PREMIER ENGLISH MEDIUM PRE & PRIMARY SCHOOL WANATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA PRIMARY KUANZIA PRE UNIT, P1 - P5. MANDHARI YA SHULE NI NZURI NA YENYE UTULIVU, AMBAYO YATAMUWEZESHA MTOTO KUSOMA VINZURI. PREMIER ENGLISH MEDIUM PRE & PRIMARY SCHOOL WANAZO NAFASI ZA BOARDING & DAY, HUU NDIO WAKATI MUAFAKA WA KWENDA KUMUANDIKISHA MTOTO WAKO SHULE, PREMIER ENGLISH MEDIUM PRE & PRIMARY SCHOOL INAPOKEA WATOTO WA KIKE NA WA KIUME
MAWASILIANO::- +255654400064 / 255 715 836 237
SCHOOL LOCATION:: KIROMO (KIBAONI) BAGAMOYO, TANZANIA. KIRIMO IS IN BAGAMOYO DISTRICT IN PWANI REGION ABOUT 50KM FROM DAR ES SALAAM AND 8KM FROM BAGAMOYO
ADMINISTRATION BLOCK
LIBRARY
CLASSROOM
MUONEKANO WA DARASA KWA NDANI LENYE VITI VYA WANAFUNZI 35 TU
No comments:
Post a Comment