Bride ::
Nuru Omary Hussein
Event ::
Kitchen Party Mada
Venue ::
Mkuki House
Décor :: Hugo
Domingo
Makeup ::
Glambox
Color ::
Royal Blue & Yellow
MC ::
Jamila Kitimtim
Photosby ::
Mashughulimedia - +255655426100
YAP!!! NI KITCHEN PARTY MADA YA BINTI MREMBO NA ALIYESHIKA DINI NURU, MASHAALAH NURU UMEPENDEZA SANA, PERFECT DRESS, MAKEUP NZURI TOKA GLAMBOX, NI BINTI MWENYE BAHATI KATUNZWA ZAWADI NYINGI SANA, MAMA MZAZI KAMSUPRISE NA GARI IST MPYAA, SET YA DHAHABU YA UKWEE'E PAMOJA IPHONE MOBILE PHONE, WAALIKWA MMPENDEZAJE NA RANGI ZA SHUGHULI ROYAL BLUE & YELLOW, WAWEZA ZAMA NDANI KUONA YOTE...
BEAUTIFUL BRIDE MASHAALAH
SHE IS HAPPY....
STUNNING....
HAJAAT SHARIFFA & SWEET DAUGHTER
SOMO SALMA NA MWARI WAKE PAMBE SANA
HAPPIEST MOMENT
SISTERZ FOREVER
FROM GLAMBOX SALON
DECOR....
ZAWADI YA NURU IST...
MAMA MZAZI ALIMSUPRISE BINTI YAKE KWA ZAWADI YA GARI IST...
KUONA ZAWADI ZA NURU ALIZOPEWA SIKU MOJA KABLA YA KITCHEN PARTY BONYEZA LINK http://www.mashughuliblog.com/2017/01/nuru-akipewa-zawadi.html
KUONA ZAWADI ZA NURU ALIZOPEWA SIKU MOJA KABLA YA KITCHEN PARTY BONYEZA LINK http://www.mashughuliblog.com/2017/01/nuru-akipewa-zawadi.html
MAMA AKIPOKELEWA
BI HARUSI AKIINGIA MASHAALAH....
WAZAZI WAKIMPOKEA BINTI YAO
BEAUTIFUL MASHAALAH
DUA...
KAMATI IKITOA ZAWADI CRDB BANK, HUNDI MILLION 3
MWENYEKITI WA KAMATI
NURU AKIKATA CAKE
SOMO MAKINI AKIFANYA YAKE
ZAWADI KWA NURU
MAMA MZAZI NA AKISINDIKIZWA NA PACHA WAKE SAKINA WAKIMTUNZA BINTI YAO ZAWADI YA GARI, DOCUMENT NA FUNGUO NA NA SIMU YA IPHONEHAJAAT SHARIFA AKITAMBA KWA FURAHA
SI KWA FURAHA HIYO MASHA...
MC JAMILA AKITIBITSHA DOCUMENT ZA GARI, SIKU HIZI UKO TRA??? HONGERA MY MC KWA KAZI NZURI
MAMA MZAZI HAJAAT SHARIFA AKITUNZWA
MASANDUKU YA MAMA MZAZI YAKISASAMBULIWABIBI WAKITUNZWA
HAJAAT AKIWATUNZA WANA CHUO
UMEONA NGUO ZA MKWE, MAMA WA UKWEE'E MFANYABIASHARA MAARUFU..
HAJAAT SHARIFA AKIMWAMBIA BINTI YAKE BADO
MWANAMKE MADINI MADINI MADINI JAMANI MMEONA HII SET IMEVUNJA RECORD
HUYU MAMA NITAMLIPA NINI MIE, NURU AKITAFAKARI
NURU NA ZAWADI YA MADINI
MAMA AKIONGEA NA BINTI YAKE
WATOTO WAKIMTUNZA MAMA YAO, HAPANA CHEZEYA MASHA MKO JUU
ROSE, ANATABASAMU LA UKWELI, AKIMTUNZA NURU
MASHAALAH NURU UMEPATA ZAWADI ZA UKWEE'E SABUFU & TV SHOWCASE
KURUSUMU NA KAMPANI YAKE WAKIKABIDHI FLAT SCREEN TV INCH 43
MAMA MZAZI AKITUNZWA MBUZI WA SUPU...
MAMA AKITUNZA
KHADIJA KUSI AKIMVISHA HAJAAT SHARIFFA TAJI LA PESA, SI WA SPOT SPOT
YAP HAPA HAJAAT AKIKOSHWA NA DOLLAR HAPANA CHEZEYA
FATMA JANGUO, MH DOTO MAGANGA NA KAMPANI YAKE WAKIMTUNZA HAJAAT SHARIFA
BI SAKINA AKIMTUNZA PACHA WAKE
BI SAKINA AKIMKOSHA PACHA WAKE HAJAAT SHARIFA
NURU AKIMSHUKURU MAMA MZAZI AKAMTUNZA PESA MILLION 3
PENZI LA KWELI...
MAMA NA MABINTI ZAKE
CHAKULA
NYUSO
HIJAAB WOMEN MASHAALAH
MARIAM & MASHA
BI SITTU MASHAALAH!!! USHUNGU UMEKTOAJE
NI RAHA KWA KWENDA MBELE
POZI HIZO WEWEEEEE UMETUONA
MH. DOTOO MAGANGA, NURU & HAJAAT SHARIFA
MH. DOTOO MAGANGA...
MY SISTER HIDAYA ASPROO PENDEZA SANA
KHADIJA KUSI PENDEZA SANA
BI REHEMA & SHOSTI
KWA RAHA ZAO SI KWA KUPENDEZA HUKO
BEAUTIFUL MASHA..BUSINESS WOMAN
BYE BYE NURU HONGERA
No comments:
Post a Comment