Sponsor

KHERI & AMINA AQDI!!!

6:44:00 AM


MASHAALAH. MASHAALAH, KHERI & AMINA ALLAH AWAJAALIE NDOA YA AMANI NA FURAHA MMPENDEZA SANA SANA
MASHAALAH AMINA
AMINA & SWEETY MAMA MASHAALAH
 NDOA IKIFUNGWA MAAMUR MASJID UPANGA
 MH. ABBAS MTEMVU
BWANA HARUSI KHERI AKIINGIA NYUMBANI KUMPA MKONO MKEWE
KHERI & AMINA 
 KHERI & AMINA WAKISAINI VYETI
HII PICHA ILIKUWA NI KUMBUKUMBU NZURI SANA LAKINI KUTOKANA NA WATU KUTOWAPA MAHARUSI NAFASI, NA PIA PICHA ZA SIMU  BASI HIKI NDICHO KILIPATIKANA RAI YANGU MAHARUSINI TUSIWAZONGE SANA MAHARUSI ILI WAPATE KUMBUKUMBU NZURI TOK KWA WAPIGA PICHA
KHERI & AMINA OFFICIAL MR & MRS MAHIMBALI
 MASHAALAH AMINA....
NYUSO
MH. ABBAS MTEVU AKIWA NA FAMILIA YA MUME PAMOJA MAHARUSI
KHERI AKIONDOKA NA MKE WAKE....

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.