HANDPRODUCTS OF TANZANIA (HOT) WATENGENEZA BUSTANI YA MZUNGUKO WA KIGOGO!!

 KINA MAMA WA HANDPRODUCTS OF TANZANIA (HOT) WALIJITOLEA KUTENGENEZA BUSTANI YA MZUNGUKO WA KIGOGO KWA KUOTESHA MAUA NA MAJANI...WALIMKARIBISHA MKUU WA MKOA ILI AONE KAZI ZAO NA AWEZE KUWAPATIA KAZI ZAIDI ZA KUPENDEZESHA SEHEMU MBALIMBALI ZA JIJI LA DAR ES  SALAAM.....

MC
BUSTANI YA MZUNGUKO WA KIGOGO IKIWA IMEOTESHWA MAUA NA KINA MAMA WA HOT
KINA MAMA WA HOT GROUP WAKIMSUBIRI MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM MH. MAKONDA
 MKUU WA MKOA MH. MAKONDA AKIINGIA
MH. MAKONDA AKISAMIANA NA KINA MAMA WA HOT GROUP
SHANGWE KWA MKUU WA MKOA MH. MAKONDA
 MWENYEKITI WA HOT AKISOMA RISALA KWA MH. MAKONDA
 MH. MAKONDA AKIWASIKILIZA KINA MAMA WA HOT GROUP
 MZEE MADENGE AKIONGEA NA MKUU WA MKOA MH. MAKONDA NA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AKIMKARIBISHA MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM, MH. MAKONDA KUONGEA NA KINA MAMA WA HOT
MH. MAKONDA  MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKIONGEA NA WAKINAMAMA WA HOT GROUP
 WANANCHI MBALIMBALI WALIUDHURIA
KINA MAMA WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment