AQDI YA MARYAM & ABDULRAHMAN MASHAALAH MAHARUSI WAMEPENDEZA SANA, NDOA ILIFUNGWA MASAKI NYUMBANI KWA KINA MARYAM, TUNAWATAKIA KHERI INSHAALAH
MAMA NA MWANA MASHAALAH
MAMA AISHA SHAMTE
ZAWADI ZA MARIAM TOKA KWA FAMILIA....
BWANA HARUSI KUOA NYUMBANI FAMILIA YA MOHAMED MZEE
BIBI ZAKE MARYAM MASHAALAH!!!
MH. ZARINA MADABIDA
WAKWE WAKIKARIBISHWA....
MARYAM IKITOA IDHINI
NDOA IKIFUNGWA....
DUA...
BWANA ABDULRAHAMAN AKIMPA MKONO MKEWE MARYAM
BARKA...
ABDULRAHMAN NA MARYAM WAKIKABIZIWA VYETI
ABDULRAHMAN AKIONDOKA NA MKEWE
Mashallah Maryam umependeza sana mungu akujaalie kila la kheri katika ndoa yako
ReplyDeleteharusi nzuri sana short but beautiful imefata hawsa maadili ya sheria za dini ya islamic ALLAH AKBAR
ReplyDelete