Groom ::
Abubakari Tajiri
Bride ::
Naylat Damas
Event
::
Wedding Reception
Venue ::
Danken Hall
Color :: Peach, Pink & Light
Blue
Makeup ::
Jenjerry Salon
Photographed by ::
Mashughulimedia - +255655426100
Date ::
28th May 2016
CONGRATULATIONS ABUBAKARI & NAYLAT YOU, CLASSIC WEDDING, THE PERFECT BRIDE'S MAKEUP & HAIRSTYLE, CHARMING COUPLE.........
CUTE NAYLAT MASHAALAH
NUNU NAYLAT'S SISTER
DECOR.....///
BEAUTIFUL WEDDING DECORATION
MC-KIBONDE
NAYLAT AKIINGIA MUME WAKE ABUBAKARI
LOVELY COUPLE
DUA YA KUFUNGUA SHUGHULI
ABUBAKARI FAMILY INTRO...///
ABUBAKARI AKIMTAMBULISHA MKE WAKE NAYLAT KWANZA
NAYLAT INTRO...///
NAYLAT AKIMTAMBULISHA MUME WAKE KWANZA
CHAMPAGNE
NAYLAT & ABUBAKAR WAKIKATA CAKE
THE BEAUTIFUL COUPLE WAKIFUNGUA MZIKI
HAPPY TOGETHER AS ONE MASHAALAH
THE FIRST DINNER TOGETHER NAYLAT & ABUBAKAR
MZEE SAGHAF AKIONGEA NA MAHARUSI
ZAWADI NA HONGERA KWA ABUBAKARI & NAYLAT
FUNGUO YA GARI HIYO HAPANA CHEZEYA
NYUSO
MWARI NA SOMO
MY SISTER FATMA KIMARIO & FRIEND
WEDDING SELFIE
SELFIE.....
PENDO & SHELLA
NAYLAT & FRIEND
NAYLAT & NUNU SISTERZ......
HAPPY BAGHDELLA & NUNU SAGHAF - SHOSTITO WA UKWEE'E
WADAU WA UKWEE'E MIAKA 100
"YOUR WEDDING DAY WILL COME & GO, BUT MAY YOUR LOVE FOREVER GROW"
Maharusi ni wazuri, mungu awajaalie ndoa yao iwe ya kheir na baraka tele, wapate watoto wenye manufaa. Aliyewapodowa 'waremba' amewatendea haki kabisa. wapendeza. hizo ndio make-up bwanaaaaa!!!!
ReplyDeleteHarusi ilifana Mashallah Mungu awajaalie kila la kheri
ReplyDelete