Bride ::
Rahma Hashim Kambi
Event ::
Sendoff Party
Venue ::
Mwenge Social Hall
Color :: Red, Blue & Yellow
Makeup :: American Nails
Entertainment :: Live Band
Photosby :: Mashughulimedia - +255655426100
YAP NI BINTI MREMBO SANA KAMA JINA LAKE RAHMA A.K.A LULU MASHAALAH PENDEZA SANA, BINTI YA MSANII MKONGWE WA BONGO MOVIE, SHUGHULI PAMBE YA UKWEE'E, WASANII KIBAO NDANI YA NYUMBA, LIVE BAND YA MUUMIN, KINYWAJI PANDA MTI KATA MTI, HAPANA CHEZEYA ZAMA NDANI KUONA ZAIDI....
HII NI MPYA EEEH, NAIJA WANAIITA "OYADAB" SISI JE??
BEAUTIFUL GIRL...
WAZAZI NA LULU YAO
DAD's DAUGHTER
MAMA NA MWANA....
MASHAALAH!!! HAKIKA LULU...
DECOR...///
MC - SAKINA LIOKA
WAKIINGIA
WADOGO ZAKE LULU WAKISAFISHA NJIA YA DADA
DUA YA KUFUNGUA SHUGHULI
LULU AKITOA INTRO....////
WAKWE WAKITOA INTRO....
BABA AKIMPA MANENO YA KUMWONGOZA LULU KWENYE MAISHA YAKE MAPYA
MZEE HASHIM AKIONGEZA INTRO WA NDUGU NA MARAFIKI ZAKE, NA WASANII WENZAKE WA BONGO MOVE
MZEE CHILO
BABA MKWE AKIONGEA
CAKE
CAKE
LULU AKIMTAFUTA MCHUMBA WAKE LOL!!!
HUKU AKIIMBA
KWANZA AKAMPA SALAMU....I LOVE THIS
HUYU HAPA BARAFU WA MOYO WANGU
KISHA AKAMVISHA SAA YA UKWEE'E
RED APPLE
LAZIMA UONE AIBU KIDOGO....
VIGELEGELE
MC SAKINA AKIMWAMBIA LULU TUFAHAMISHE BASI....
JE UMEKUBALI NDIO WEWE? NDIWOOOOOO
PENDEZA SANA MASHAALAH
KISHA AKAMKARIBISHA CHAKULA
HONGERA NA ZAWADI KWA RAHMA A.K.A LULU
BURUDANI
ZAWADI NA HONGERA KWA LULU
WAZAZI WAKIPELEKA ZAWADI
BABA NA BINTIYE
KAMATI IKIPELEKA ZAWADI
MAMA AKITUNZWA
RAHMA AKIKABIZIWA FUNGUO YA GARI NA SHANGAZI
NYUSO
MAMA MZAZI WA BI HARUSI
BABA MZAZI WA BI HARUSI
WAZAZI WA BWANA HARUSI
MAMA HAO PENDEZA SANA
WAZAZI
Shughuli pambe ile mbaya Bi Harusi kapendeza kweli Mashughuli tujuze nguo kashona wapi? tumeipenda nasi tumtumie huyo fundi mashallah.
ReplyDeletemashaallah, sherehe ilipendeza kwa kweli
ReplyDelete