YAP NI MAULID YA NDOA TUNSUME & AHMED, MASHAALAH MAHARUSI PENDEZA SANA, ZAMA KWA HIZI HALAFU UJE UWAONE MAHARUSI WALIVYOPENDEZA KWENYE SHINDA...
HONGERA MZAZI
MASHAALAH.....
MAMA NA MWANA
MAMA NA BINTI ZAKE
TUNSUME NA SOMO YAKE
CHEUSI, MAMA MZAZI WA TUNSUME
WAGENI WAKIINGIA MAULIDIN
MAULID
TUNSUME AKIINGIA NA MUME WAKE
MAHARUSI WAKITUNZA
CHAKULA CHA MCHANA
RED CARPET
SISTERZ
No comments:
Post a Comment