Groom ::
Masoud
Bride :: Amina Abas Mtemvu
Event
:: Islam Aqdi
Venue :: Diamond Jubilee VIP Hall
Color ::
Yellow, Red &
Gold
Makeup :: GNG Saloon
Bridedressedby ::
Amina Design
Mama Dressedby ::Amina
Design
Décor ::
Entertainment ::Gusagusa
Min Band - +255 713 434342
Photosby ::
Mashughulimedia - +255655426100
Date :: 22 January 2016
YAP NI MASOUD & AMINA NIKAH & MAULID, LOVELY COUPLE MASHAALAH PENDEZA SANA, THIS TIME BI HARUSI & MAMA MARIAM MTEMVU WAVISHWA NA AMINA DESIGN PENDEZA SANA, NIMEPENDA SANA DRESS CODE WAALIKWA WALIFUNIKA VICHWA WAKATI MAULID YAKISOMWA, BAADA YA MAULID TULIKUWA NA GUSAGUSA MIN BAND WANA WA MUJINI WAKITUPA RAHA, MARIAM MTEMVU AMTUNZA SOMO AISHA KAPUYA MWENDO ULE ULE MADINI TENA SET IMEKAMILKA KISHA AKAMKOSHA KWA FWEZA NA MENGINEYO MENGI
AMINA DRESSED BY AMINA DESIGN
SOMO AISHA KAPUYA NA MAHARUSI
MAHARUSI NA MDOGO WAO TAMIA
MASOUD AKIWA NA MKWEWE MH. ABAS MTEMVU
DECOR....///
MC UPANDE WA WANAUME
HAJ SUNDAY
BWANA HARUSI AKIINGIA
MAULID YAKISOMWA...
MH. RAISI MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AKIONGEA
MH. ADAM MALIMA....
HAPA SIJUI MC HAJI KAONGEAN NINI?
DUA...
MH. RAISI MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AKIMPONGEZA BWANA HARUSI
MAGRAM AKIWAPONGEZA MAHARUSI
NYUSO MBALIMBALI UPANDE WA WANAUME
MH. ABAS MTEMVU BABA MZAZI WA BI HARUSI
MH. KOVA
MH. RAISI MSTAAFU ALI HASSAN MWINY & ALHAJ KIMBISA
MH. ABAS MTEMVU & MANJI
MANJI
RAMADHAN DAU
CHAKULA CHA MCHANA
RED CARPET
ALHAAJ KIMBASA, RAMADHANI DAU & MH. KOVA
MH. MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE
UPANDE WA WANAWAKE
MC JAMILA KITIMTIM KWA UFASAHA....
BI HARUSI AKIINGIZWA NA SOMO YAKE AISHA KAPUYA, SAMBAMBA NA MDOGO WAKE TAMIA
MWARI NA SOMO
SOMO AKIWEKA MABO SAWA
MWAAAA....MKE WANGU
MAMA MH. DIWANI MARIAM MTEMVU AKIWAPONGEZA MAHARUSI
MAMA AKIWA NA FURAHA SANA
HAPPIEST COUPLE
KAKA WA BWANA HARUSI AKIWATUNZA
WAZAZI
MAMA AKIONGEA NA MAHARUSI
MH. MARIAM MYEMVU AKIWASHUKURU WATU WOTE, NIMEMPENDA SANA ANA SHUKRANI...
AMINA DESIGN NDIE ALIYEWAVISHA MAMA MTEMVU NA BI HARUSI AMINA PENDEZA SANA...
BURUDANI
GUSAGUSA MIN BAND LIVE
HAJAAT JOKHA SIMBA
ZAWADI
MAMA MZAZI AKIPONGEZWA
MAMA MZAZI MARIAM MTEMVU AKIMTUNZA SOMO
ALIANZA NA SANDUKU LA SOMO
KISHA AKAMKOSHA KWA FEDHA...
AKAMNG'ARISHA KWA MADINI
HAPANA CHEZEYA MARIAM MTEMVU
NA CHA MKONONI
MASIKIONI NI SET ILIYOKAMILIKA
HIDAYA MCHOWEWELE AKIMPONGEZA MAMA MZAZI
SOMO PENDEZA SANA
MARIAM MTEMVU NA DADA YAKE WAKIWA NA SOMO AISHA KAPUYA
NYUSO
MWAGUMBO & KIEDE
MARIAM MTEMVU MH. DIWANI & AMINA DESIGN
BI HARUSI KAVISHWA NA AMINA DESIGN... WAJINA
NAIMA MALIMA
MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI
DOTTO & FRIEND
KHADIJA MTEMVU, HALIMA SHETA & FRIEND
FATHIYA & FRIEND
SITTU & FATMA
SUZY & ZEDYFASHION
TAMIA NA SHOGA YAKE
FAIDA, KHADIJA MTEMVU & FRIEND
MGENI NA PAMBE YAKE SARE IMENOGA SANA
HIDAYA MCHOWELE & FRIEND
AMALA SHOGA YAKE BAHIYA
DOTTO MAGANGA & MAMA KAPUYA
PAMBE YA SOMO HIYO..
ZEDYFASHION, SUZY, FRIEND & MARIAM MTEMVU
WAJASRIAMALI NA MH. DIWANI ALIYETUSUPPORT KATIKA KAZI ZETU
SITTU MWASU & DOTTO MAGANGA
MDOGO WANGU MIE HUYO WA KATI
FATHIYA & DADA YAKE TIMA
HAJAAT JOKHA SIMBA & AMINA DESIGN
MIE NA MAMA MTEMVU, ASANTE SANA KWA KUNISUPPORT
MAMA NA MWANA
MAHARUSI NA AUNTY ZAKE TOKA ABDJAN
SUZY BALTAZAR & FRIENDS
DOTTO, HIDAYA, MAMA KAPUYA, FATMA JANGUO & MARIAM MTEMVU FRIENDS FOREVER...
BYE BYE AMINA & MASOUD
Maharusi wamependeza sana.Jamani da Hellen huyo unaesema mdogo wako sio Nafhat huyo?nmemuona tangu kwenye singo.naweza kupata contact zake jamani?long time sana tangu enzi za Abbasiyya na Khairiya kwa sheik Uwesu.pleaseee niconnect nae naitwa Moza,instagram natumia mouzhabibty
ReplyDeletemashaallah wajina mwenyezi mungu akupe ndoa ya kheri, maaunt wa abjan nimewaelewa sanaaaaaa
ReplyDeletebi harusi hupendi kuvaa hereni. ukatoboe bwana uvae dhahabu zako
ReplyDeletewapiii dada ake Sitti Mtemvuuu
ReplyDeleteMashallah harusi nzuri watu wamependeza sana, allah awabariki kwa ndoa yenu awape mapenzi mema daima. lkn mbona dada wa biharusi sijamuona yule Miss wetu, kwakweli mashallah Mh Abbas ni baba mzaa chema na mm najitaarisha kuja kuomba mungu kwa waliobaki.
ReplyDelete