Sponsor

HAPPY BIRTHDAY MAMA WA MITINDO WA KIMATAIFA ASYIA IDAROUS KHAMSIN

9:34:00 AM

LEO NDIO SIKU YA KUZALIWA MWANAMITINDO NA MBUNIFU MAARUFU WA MITINDO YA MAVAZI WA KIMATAIFA ASYA IDAROUS KHAMSIN ALMAARUFU KAMA "MAMA WA MITINDO" MTANZANIA ALIYEJIZOLEA SIFA KEDEKEDE NA ANAYEENDELEA KUIWAKILISHA TANZANIA KIMATAIFA KATIKA FANI YA MITINDO YA MAVAZI.
TUNAMTAKIA KILA LA KHERI, AFYA NJEMA, MAISHA BORA, MAISHA MAREFU, NA FIRAHA YA MAISHA

KEKI YA MAMA WA MITINDO
MAMA WA MITINDO AKIONESHA KWA NINI ANAITWA HIVYO.
GLOBU YA JAMII INAMTAKIA  INAMTAKIA MAISHA MAREFU YENYE FURAHA.....POST TOKA ISSAMICHUZI KUSOMA ZAIDI BONYEZA HAPA ISSAMICHUZIBLOG

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.