FATMA's USIKU WA ZAWADI!!

Bride                    :: Fatma Omary
Event                    :: Usiku wa Zawadi
Cake                     :: Mama Gao
Makeup                :: Gng Saloon
Venue                   :: Msasani Tower
Caterer                 :: Talma Caterer
Color                    :: Red &Gold
Photosby              :: Mashughulimedia - +255655426100
YES NI SWAGA ZA KIMWAVULI, NI USIKU WA ZAWADI YA FATMA, MASHAALAH PENDEZA SANA TU, SHUGHULI PAMBE MAMA WA BI HARUSI UMETISHAJE ZAWADI ZA UKWEE'E NYUMBA IMEKAMILIKA, WAALIKWA WAMEKWENDA NA RANGI YA SHUGHULI

MAMA's LOVE WILL NEVER DISAPPOINTED 
MC JAMILA KITIMTIM AKILIVURUMISHA......
DECOR.....///
 ZAWADI
HONGERA MAMA MZAZI MWANAASHA UMETISHA
MAMA MZAZI NA MABINTI ZAKE WAKIINGIA UKUMBINI
FATMA AKIINGIA UKUMBINI....
DUA.....///
KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI
MC JAMILA ANASEMA MWARI LAZIMA AFICHULIWE KWANZA
INTRO......///
CAKE
CHAMPAGNE
BURUDANI
ZAWADI
ALIANZA MAMA KUMKABIDHI BEDROOM SET NA VYOMBO VYA JIKONI, VITU VYA UKWEE'EE MWANAASHA SHIKAMOO
 AKIMKABIDHI BEDROOM SET
AKIMKABIDHI FRIDGE
UMEONA KABATI NDANI LINA VYOMBO
 MAMA AKIONGEA BAADA YA KUKABIDHI ZAWADI
 FATMA NDUNYU AKIKABIDHI WASHING MACHINE
 MWANANA MANZI AKIKABIDHI GAS COOKER...
 MWANANA MANZI & FATMA, ZAWADI ZAKO ZINAKUWAGA ZA UKWEE'E, SOLUTE KWAKO, SALAMA ZANGU KWA MR. MANZI
 FATMA AKIKABIZIWA MEZA YA CHAKULA...
 WADOGO ZAKE FATMA WAKIMKABIDHI SITTING ROOM SOFA SET, FLAT SCREEN, TV CABINET
KISHA WAKAMTUNZA MAMA YAO MAPESA
RAFIKI WA KWELI MAISHANI
FAMILIA YA MWANAASHA....HIYO
JAMANI MASHAALAH RAHA YA DUNIA NI WATOTO, UMEONA MAMA NA MABINTI ZAKE
MAMA KISMAT HAPANA CHEZEYA SUBIRA GROUP...
MWAJUMA NDUNDU NA BINTI YAKE LATIFA WAKITUNZA
 MAMA YA UKWEE'E HIDAYA ASPROO AKITUNZA
SHUU AKIMKOSHA MWANAASHA
LATIFA NA ODO WAKE WAKIMTUNZA MAMA MZAZI
 FAMILY FRIENDS GROUP WAKIMKOSHA MWANACHAMA MWENZAO MWANAASHA. HILI NI LILE KUNDI LA MAREHEMU DADA YETU MUNGU AMREHEMU TANT BOY, KILA NIKIWAONA NAMKUMBUKA SANA....
 HAFSA RAMADHANI NA TATU LUMELEZI  WATU WANGU WA UKWEE'E
MC DALILA JAGGAR AKIFANYA VITU VYAKE
SITTU MWASSU AKIMKOSHA MWANACHAMA MWENZAO
YES NI MC JAMILA AKICHEZA NA PESA, JAMILA UNAJITOA SANA BEST WANGU NDIO MAANA SIKU ILE YA GRADUATION YA BINTI ULITUNZWA BALAA...
CHAKULA
NYUSO
SISTERZ....
SUPER STAR NYOTA WA NJENJE, SALMA KESSY & MWANAASHA
 
FATMA NDUNYU & FATMA
MWANAIDA & MDOGO WAKE
LILIKHADIJA PENDEZA SANA
MAMA TAMBA, RUKIA KISMAT & FRIEND
SITTU MWASU NA PAMBE YAKE
BISHARA & SURAIYA 
RAHMA KISMAT & FRIEND
LILIKHADIJA & MWANAASHA
MIZE & FRIEND
BYE BYE........
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

  1. Jmniiiiiii nimeipenda sn bedroom set yake. Je inapatikana Wap? Naomba msaada kwa hili.

    ReplyDelete
  2. Jmniiiiiii nimeipenda sn bedroom set yake, inapatikana Wap?

    ReplyDelete
  3. Jmniiiiiii nimeipenda sn bedroom set yake, inapatikana Wap?

    ReplyDelete