Sponsor

TANGAZO LA KIFO - ROSE RAYMOND SHOGHOLO!!

9:22:00 PM

FAMILIA YA CHALLY SHOGHOLO WA SINZA (BABA MDOGO), DAR ES SALAAM WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO NDUGU YAO ROSE RAYMOND SHOGHOLO (PICHANI) KILICHOTOKEA JUZI SEPT 9, 2015 KATIKA HOSPITAL YA MAMA NGOMA MWENGE-KWA PROFESSOR NGOMA
MAZISHI YAMEPANGWA KUFANYIKA KESHO JUMAMOSI, WILAYA YA SAME KIJIJI CHA KISIWANI
FAMILIA INATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA PROFESSOR NGOMA  NA WAUGUZI WA HOSPITAL YA MAMA NGOMA MWENGE, KWA MOYO WAO NA UPENDO WALIOTUONYESHA KIPINDI CHA KUMUUGUZA NDUGU YETU
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO. 
LEO SAA 3 ASUBUHI TUNAMUAGA NDUGU YETU ROSE,  SINZA  NYUMBANI KWA BABA MDOGO CHALLY SHOGHOLO SINZA.

BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE!!

You Might Also Like

1 comments

  1. R.I.P Mwanvita, tulikupenda ila Mungu amekupemda zaidi.

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.