MAZISHI YA ROSE RAYMOND SHOGHOLO!!!!

SAFARI YA KWENDA KUMPUMZISHA MDOGO WETU MAREHEMU ROSE ILIANZIA DAR ES SALAAM, BAADA YA IBADA YA KUTUOMBEA KUSAFIRISHA MWILI SALAMA TULIANZA  SAFARI YA SAME KISIWANI..

MWILI WA MAREHEMU ROSE UKIINGIA NYUMBANI KWA BABA MDOGO SINZA MZEE SHOGHOLO
 DADA WA MAREHEMU MARIAM, AKILIA KWA UCHUNGU....
 DADA MKUBWA MAMA ZUHURA NA YEYE AKILIA
 SHANGAZI AKIMBEMBELEZA MARIAM
 MWILI UKIINGIZWA NDANI TAYARI KWA IBADA
 MCHUNGAJI AKITUPA NENO LA UZIMA, 
 MCHUNGAJI WA KANISA ALILOSALI ROSE
NDUGU NA MAJIRANI WA DAR ES SALAAM WAKIMUAGA MWILI WA ROSE
IBADA YA MAZISHI SAME KISIWANI
  TULIANZA KUPATA SADAKA...
 MWILI WA MAREHEMU UKITOLEWA NDANI
 DADA YAKE MAREHEMU ROSE  ANNA AKISOMA HISTORIA YA ROSE
 WANAFAMILIA MBALIMBALI WAKITOA SALAMA ZA MSIBA NA SHUKRANI
 SUZY MTOTO WA PILI WA MAREHEMU ROSE
 KULIA:: BOB MTOTO WA KWANZA WA MAREHEMU ROSE
 DADA ZAKE MAREHEMU ROSE, HAPO KAKOSEKANA MARIAM
 MARIAM AKIWA NA MASIKITIKO SANA POLE SANA MDOGO WANGU KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA
NAATA MOLLEL...
 RITHA & ANNA
NAMUONA SHOGA YANGU KURWA POLE SANA
 WANA KIJIJI WAKIWA NA SIMANZI SANA, KWANI MAREHEMU ROSE ALIISHI KIJIJINI KABLA YA KUJA DAR ES SALAAM
 ANNA NA MAMA NESHY WAKIUTAYARISHA MWILI TAYARI KWA KUAGWA
 POLE SANA BOB.....
SUZY N ARITHA WAKIMUAGA MAMA
RUTH AKIMUAGA MDOGO WAKE
DADA MKUBWA AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MDOGO WAKE
 MARIAM AKIMUAGA MDOGO WAKE...
WIFI MKE WA KAMANDA MSAFIRI AKUMUGA WIFI YAKE
 MAMA NESHY AKIMUAGA MDOGO WAKE
 MAMA ZUHURA AKIMUAGA MDOGO WAKE ROSE
 ANNA AKIMUAGA MDOGO WAKE
 BOB MTOTO WA KWANZA WA MAREHEMU AKIMUAGA MAMA YAKE
 TUKIELEKEA MAKABURINI
 NILIMPENDA SANA HUYU BIBI YEYE ALIKUJA NA MAUA YAKE TOKA NYUMBANI, INGEKUWA VINZURI YALE MAUA YA KUWEKA KWENYE KABURI KILA MTU AJE NA LAKE MOJA TU...!!!
BOB NA SUZY WAKIWASHA MISHUMAA
 MARIAM, DADA YAKE MAREHEMU ROSE, AKIWA NA FATHIYA MTOTO ALIYEACHIWA NA MAREHEMU ROSE, FATHIYA.....
 SUZY NA MDOGO WAKE
 UMMY KASU NA FATHIYA
MASOUD KIKULA
 MARAFIKI WALIOMSINDIKIZA MARIAM, ROSE, NAATA, MANKA & KURWA
 HAPA NDIO NYUMBA YA MILELE YA ROSE....NIKIRIPOTI TOKA SAME KISIWANI.....


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. Jamani poleni sana wapedwa, mawifi zangu na shemeji zangu mimi nipo mbali ila msiba huu una uma sana sana hasa ukiangalia huyu mtoto aliyeachwa jamani Shogholo wote na wabagha vose jitahidini kumpa huyu malaika upendo. poleni sana wanakisiwani wote tunamjua Rose alikuwa na roho nzuri sana

  ReplyDelete
 2. Inna Lillah Wainna Ilayhi Rrajiuun...
  Nimelia kama namjua jamani baada ya kuwaona watoto wake. M'Mungu awape faraja familia na awalinde na awakuze watoto wake kwenye maadili yampendezayo.

  ReplyDelete
 3. so sad, R.I.P Rose.

  ReplyDelete
 4. simjui huyo dada but nimelia sana hasa baada ya kumuona huyo mtoto mdogo aliyemuacha...
  Mungu amkuze mtoto akiwa na afya njema..
  Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..AMEN

  ReplyDelete
 5. POLENI SANA WANA SHOGHORO NA JAMAA YOTE MLIOPATWA NA MSIBA HUU WA MPENDWA WENU.

  JIRANI YANGU BABA ESTHER NA MAMA ESTHER WA TABATA POLENI SANA. MWENYEZI MUNGU AWAPE FARAJA NA PIA MUNGU AWASIMAMIE WATOTO WAKE WOTE, HASA HUYO MARAIKA WA MUNGU.

  Rama ya Milele upe Eee bwana na MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE, ASTAREHE KWA AMANI AMEEN.

  JIRANI YAKO MAMA HELENA TABATA

  ReplyDelete
 6. Inatia uchungu sana Mungu awatunze watoto walioachwa. Kwani huyo dada aliumwa au alipata ajali. So sad

  ReplyDelete