Sponsor

REST IN PEACE NEEMA!!!

2:25:00 PM

NIMEPOKEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA SANA MSIBA WA NEEMA, A.K.A PERPETUA, KAZI YAKE MUNGU HAINA MAKOSA, NEEMA NILIFANYA NAYE KAZI KIPINDI CHA HARUSI YAKE KITCHEN PARTY NA SENDOFF, SOTE TU SAFARI MOJA LAKINI ANAPOTANGULIA MWENZETU TUNASIKITIKA NA KUMUOMBEA DUA, SINA MANENO ZAIDI NAKUMUOMBEA DUA, SINA MANENO ZAIDI NAKUOMBEA DUA UPUMZIKE KWA AMANI

You Might Also Like

3 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.