DR TAMBA AMTAJA RAIS ATAKAE KUJA TANZANIA!!!

 MTAALAMU WA TIBA ASILIA TANZANIA ALIE BOBEA NA MAARUFU HAPA NCHINI NA NJE YA MIPAKA YETU  YA TANZANIA AMEZUNGUMZIA KUHUSU RAISI AJAE  KATIKA MAZUNGUMZO HAYO NA WAANDISHI WA GAZETI HILI DR TAMBA ALIKUWA NA MENGI SANA JUU YA JAMBO HILI LA RAISI AJAE ALISEMA WATU WENGI  SANA
WAMEKUWA NA FIKRA MAWAZO NA MIONO TOFAUTI JUU YA NANI HASA ATAKUWA RAISI WA NCHI HII NA KATIKA HILI TAYARI  WATANZANIA WAMEANZA MABISHANO MALUMBANO NA HOJA NYINGI SANA AMBAZO KILA MMOJA WETU ANAE MGOMBEA ANAEONA HUYU NDIE ANAEFAA KUTOKANA NA SIFA ZAKE AU UEWEZO WAKE KATIKA KULIONGOZA TAIFA HILI NI KWELI NA HILI SI JAMBO DOGO NI JAMBO KUBWA ZITO SANA NA UKILINGANISHA NA HALI ILIVYO YA KISIASA KWA USHINDANI KATIKA VYAMA UUNGANIKAJI WA VYAMA VYA SIASA NA WALIOJITOKEZA KUGOMBEA NDANI YA CHAMA TAWALA  HII YOTE NI KUONYESHA KWAMBA KUNA DEMOKRASI ILIYOKOMAA NCHINI KWETU NA WENGI WANAZO SIFA ZA UGOMBEA URAIS NA WAMETUMIA HAKI ZAO ZA MSINGI KATIKA KINYANYILO HIKI CHA NAFASI HII ADHIMU KUBWA NZITO YA KULIONGOZA TAIFA HILI LETU LA TANZANIA KWANZA NICHUKUE FURSA HII KUWAPONGEZA WOTE AMBAO WAMEJITOKEZA KUTANGAZA NIA NA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HII YA URAISI TANZANIA HONGERENI SANA . MMEWEKA HISTORIA KUBWA NCHINI KWETU TANZANIA KW MWAKA HUU HASA SASA NATAJA RAIS AJAE RAIS AJAE NI YULE TAYARI  MWENYEZI MUNGU ALISHAMUANDIKIA  KUWA WEWE UTAKUWA RAISI WA TANZANIA KATIKA MWAKA 2015 HUYU NDIO RAISI NILIE MTAJA . NATAKA NIWAAMBIE NDUGU ZANGU WA TANZANIA KUWA ATAKALO MWENYEZI MUNGU LOLOTE LILE USEMA KUWA NA LINAKUWA HII NI KWA MUJIBU WA MAANDIKO  KWA HAKIKA ATAKAE PATA NAFASI YA KUGOMBEA URAISI NDIO MWENYEZI MUNGU ALIEMCHAGUA KWETU NA ANAZO SIFA HUSIKA NA VIGEZO STAHIKI MWENYEZI MUNGU ATUJAALIE SALAMA UTULIVU NA AMANI IDUMU NCHINI KWETU                


MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA.

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment