OLIVA's SENDOFF PARTY!!!

Bride                             ::Oliva Kwesigabo
Event                             ::Sendoff  Party
Venue                            ::Mirado Hall
Makeup                         ::Glambox Bridal & Beauty Lounge
Cake                              ::Sweet Hand Delight
Dressed-by                    ::Masai Bridal
Color                             ::Light Blue, & Gold
Photoby                        ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
YAP NI BAADA YA ILE KITCHEN PARTY ILIYOSISIMUA MJI, SASA OLIVA SENDOFF PARTY PENDEZA SANA KILA KITU ON POINT NA HIYO RANGI HADIMU YOU LOOK MWAAAH!! MAKEUP BY GLAMBOX BRIDAL & BEAUTY LOUNGE KULE KWENYE PUNGUZO LA BEI, RANGI NYEKUNDU IMEKUPENDEZESHA SANA

 OLIVA & DADA YAKE KIPENZI GRACE
KILA SIKU NAVITUWA SANA NA KAZI YAKE, BIG UP BRO!!!
MAWASILIANO:: +255 715 784 744/0758 238 559
OLIVA AKIINGIA UKUMBINI,...
WAKWE WAKIINGIA NA MAHARI
SALA....
DECOR.....///
INTRO........///
LILIKHADIJA...
BABA MZAZI AKISOMA BARUA...
CAKE
 
 CHAMPAGNE
OLIVA AKIMSAKA MCHUMBA
 OLIVA ALISINDIKIZWA NA KAKA
OLIVA AKIMVISHA SAA MCHUMBA
 NZURI EEHH
 OLIVA AKIMKARIBISHA MCHUMBA CHAKULA CHA JIONI
BURUDANI
ZAWADI
MARA NYINGI NIMEONA SHUGHULI YA KABILA LA WAHAYA, MTOTO ANAFUATA ZAWADI KWENYE MEZA YA WAZAZI
 WANA KAMATI WAKITOA ZAWADI
 MAMA & DADA GRACE WAKITUNZWA
DUUUH!! HUYU DADA HONGERA ZAKE KWA UPENDO....HATA MIMI NIMEONA
NYUSO
MAMA NA MWANA
SISTERZ FOREVER
OLIVA & BIBI
SISTERZ
OLIVA NA MAMA ZAKE
OLIVA, DAD's DAUGHTER
MCHUMBA...
GRACE & FRIENDS
LA FAMILIA
BROTHER & SISTER
OLIVA & BROTHERS
PENDEZA SANA GRACE, LILIKHADIJA NAKUPENDAJE....
OLIVA AKIWA NA BABA NA MAMA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. hongera sana dada G kwa kufanikisha na kupendeza sana

    ReplyDelete
  2. Nzuri, Oliver mrembo pia,Oliva Unakujua Bukoba kweli huyu?

    ReplyDelete