WAFAHAMU MAJINI WAMILIKI WA RANGI ZA BAHATI NA SIKU ZAKE KIMPANGILIO!!

Ushauri tiba na maelekezo wasiliana dr Tamba akusaidie kwa simu namba 0713616069 /0784616069 /0754616069 /0773616069 ofisi ipo magomeni mikumi na barabara ya kawawa D'salaam
Bahati ni moja ya kitu muhimu sana duniani unaweza kukosa bahati ikawa shida kubwa maishani mwako unaweza kuwa na elimu kubwa lakini huna bahati unaweza kuwa na kipaji ukakosa bahati unaweza kuwa mzuri sana kupita wazuri lakini ukakosa bahati unaweza kuwa na pesa lakini hunabahati hapa nazungumzia bahati na utawala wake kitaalam bahati inaumiliki wake na viumbe wanaomsaidia mtu kuwa mwenye bahati nao ni viumbe watawala wa siku na rangi za siku hizo kuanzia jumamosi jumpili jumatatu jumanne jumatano alkhamisi ijumaa hizo ni siku saba zipo siku zinatawaliwa na rangi moja tu zipo siku zinatawaliwa na zaidi ya rangi moja au zaidi ya rangi mbili unapo fuata utaratibu huu iwe siku yako ya kusheherekea kuzaliwa au harusi yako ukupa nguvu zaidi na kukuweka juu kinyota viumbe hawa humpa mtu msaada katika jambo lake kwa kufurahiya
matumizi ya rangi husika ya siku hiyo iwe ahadi ya jambo lolote basi upata msaada wa kulifanikisha kiurahisi au mambo huwa myepesi zaidi kwa atakae fuata ratiba ya rangi hizo katika siku hisika zipo rangi za bahati ya mtu zipo siku za bahati ya mtu kutokana na nyota yake zipo namba za bahati ya mtu zipo saa yaani nyakati au muda kwa mtu katika bahati yake lakini hapa nazungumzia utawala wa rangi na siku siku ya jumamosi rangi ya bahati ni zambarau au pinki au grey . Siku ya jumapili rangi ya bahati njano au dhahabu au orange . Siku ya jumatatu rangi ya bahati bluu yoyote iwe iliyokoza au ya mawingu au ilofifia siku ya jumanne rangi ya bahati nyeusi au nyekundu . Siku ya jumatano rangi ya bahati nyekundu damu ya mzee au maron au rangi ya kahawia choclate . Siku ya alkhamisi rangi ya bahati kijani ya aina yoyote . Siku ya ijumaa rangi ya bahati nyeupe au maziwa . Faida ya matumizi ya rangi hizi ikiwa utafuatilia kwa umakini kwa kutumia katika siku husika utapata mafsnikio na mahitaji yako unaweza kufanikisha ahadi zako nyingi na kipata msaada kutoka kwa viumbe hao wamiliki wa rangi hizo katika siku zao husika silazima upate kuvaa full hata ikiwa utakuwa na kotambaa cha jasho katika siku husika lakini vyema ukawa umazo nguo khasa zenye rangi hizo kwa siku hisika hata nguo ya ndani ikawa ndio yakuchanganyia hizo ni siku na watawala wake jumamosi yupo maymuna sihabi . Jumapili yupo mudhihibu .jumatatu yupo murrat bin harith jumanne yupo mihrza bin ahmar jumatano yupo brkaan alyahudia alkhamis yupo shamhurush bin walid kadhi aljini na ijumaa yupo abuu nuur abyadh zawabii malik yaumiljumaaa . Hawa ndio wamiliki wa rangi hizo na ni vyema kujua siku yako ya bahati na utawala wa nyota yako na asili ya nyota hiyo ni nini hasa ni moto maji mchanga au upepo inawezekana biashara ufanyayo inapingana na nyota yako kiasili wewe moto bishara ufanyayo asili yake maji au wewe upepo biashara mchanga hiyo ni mifano ambayo udababisha madhara kila ufanyacho hakiwi aukinakufa au unakwama unapoteza unafilisika unapata hasara badala ya faida ukipata peasa haikai ahadi azitimii kila jambo unalianza halfiki mwisho ukikopwa hurudishiwi ukikopa unashindwa kulipa unapoteza tu kila chako kinharibika au kuvurugika hudumu kwenye kazi au ajira tatizo nyota wenzako wanafanikiwa wewe upo upo tu je nyota yako ipo sawa na je ufanyalo kinyota lipo sawa jichunguze jiulize jitathmini ujitambue kwa ushauri tiba maelekezo wadiliana na dr tmba kwa mob 0713616069 au 0784616069 au 0754616069 au 0773616069 au fika ofisini kwake magomeni mikumi na barabara ya kawawa swala la nyota na bahati usababisha hata migogoro kwenye ushirika wa kibiashara au mahusiano pia nyota umsaidia mtu na kumpa mafanikio na hasa bahati pindi ujuapo asili ya nyota yako kuu na bahati yako kinyota na utakalo kwa wakati husika

Unaweza kujihusisha na jambo kinyota linapingamizi kubwa ikawa tatizo kwako ukahisi umetogwa kumbe tatizo nyota jambo hilo hilo mwingine anafanikisha wewe ngumu wy kwanini inakuwa hivyo haiwezekani ni vyema mtu ukajichunguza nyota yako kiundani na je mwilini mwako huna kipingamizi chochote nyota zako zipo sawa kwa idadi na je zipo hai na azina giza lolote na ufanyayo yanaendana na nyota yako ikiwa kazi biashara au utaftaji wowote unaweza kulima au kuchimba madini wakati nyota yako kuu haikubali unataka kuuza chakula au maji vinywaji nyota yako kuu haikubaliani hata swala la mahusiano pia nyota upingana ikawa shida kubwa sana nyota huwa na nafasi kubwa kwenye maisha na jamii unaweza kuharibikiwa kwa kuwa na nyota isiyo mwanga au isiyo na mvuto au nyota ambayo imesinyaa hilo huwa tatizo kubwa sana maishani ni muhimu kujijua na kujitambua 
Ukiwa na tabia ya kujipenda kuwa nadhifu mara kwa mara ukaribisha kheri barka mafsnikio na uwepesi wa njia za kipato rzki na kila la kheri viumbe hawa wamiliki wa siku rangi za siku ni viumbe wazuri sana wanasidia mambo mengi sana iwapo mtu atafuata maelekezo haya japo kwa mwezi ataona mafanikio yake na zipo pete nazo za fedha ambazo zinabeba nyota ya mtu na kuwa msaada kinyota kwa kumfanikishia mambo mbalimbali iwe biashara kazi mipango na utaftaji wa kila kitu maishani mwakeMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. Hakika ni kweli yapo na yanatibika tumuone dr tamba anasaidia sana mmungu amjaalie

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bona sikuelewi anasadia ki VP mambo nyota naskia ni haramu kislamu mwenyezi mungu ndio anajuwa zaidi.

      Delete