Sponsor

SITTI AKIMKARIBISHA MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA, SIKU YA WANAWAKE DUNIANI!!!

3:11:00 PM

 Tarehe 08.03.2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Mwenyekiti wa Sitti Tanzania, Sitti Abbas Mtemvu

Sitti akimkabidhi zawadi ya ukumbusho ya vikombe maalum kwa ajili yake na Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete

You Might Also Like

1 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.