MFAHAMU JINI ZOHALI AFRIT JINI MDUMAZI NA MKANDMIZAJI!!!!


Ushauri tiba na maelekezo wasiliana dr Tamba akusaidie kwa simu namba 0713616069 /0784616069 /0754616069 /0773616069 ofisi ipo magomeni mikumi na barabara ya kawawa D'salaam
Huyu ni jini pingamizi vikwazo na jini mdumazi mtu akiwa nae jini huyu mwilini mwake huwa kila jambo lake uchelewa haliwi kwa wakati iwapo litakuwa basi ni baada ya muda mrefu sana na mtu mwenye jini huyu huwa anadumaa katika kila kitu chake ikiwa kupata maendeleo au kupata mafanikio huwa si rahisi na udumaa hata kupata mume ikiwa mwanamke ndugu zake au wadogo 
kwake humuacha hapohapo alipo muda siku na miaka inapita anazeeka lakini haolewi anaweza akiwa na mwanaume wakaishi miaka lakini wasiooane wakapata watoto bila ndoa jini mdumazi umdumaza mtu katika kazi akawa yupo alipo tu miaka inapita yeye yupo yupo apandi cheo hata kama sifa anazo hapati nyongeza yoyote ya mshahara wala kupata nafasi stahiki za aina yoyote jini huyu mdumazi udumaza hata maombi ya lolote lile ukangoja usipate jini mdumazi hata ikiwa unataka kujenga basi unaweza kununua kiwanja ukaishia msingi tu au kikabaki kilivyo usipite usifikirie na ukawa unatumia pesa kwa vitu visivyo na maana yoyote jini huyu umkandamiza mtu akashindwa kujinyanyua kabisa jini zohali au mdumazi umdumaza mtu akashindwa kuwa na mafanikio kibiashara au kikazi na hata kimaisha kwa ujumla wenzako unaofanya nao kazi pamoja na mnalingana kipato au wewe upo juu lakini ukakwama kufanikisha lolote kutokana na jini huyu mdumazi na jini huyu udumaza hata fikra na ufahamu uelewa wako pia jini mdumazi udumaza mtu kielimu akawa anashindwa na kukwama kabisa jini mdumazi udumaza hata kipato cha mtu kikawa hakiongezeki na hakimpi faida yoyote kimaendeleo jini mdumazi udumaza mahusiano ya watu yakawa ya udumazi toka wawe pamoja na kutopata maendeleo yoyote ujue mmoja wenu anaweza akawa na jini huyu mdimazi au zohali afriti ni jini mbaya mkorofi iwapo mtu atakuwa nae mwilini mwake huwa na ugumu ugumu kila jambo lake huwa zito hata kama jepesi lakini kwake huwa na pingamizi vikwazo na vizuizi mbalimbali mtu huyo ushindwa hata kuuza kitu au kupata kitu kwa haraka hata kitu hicho kikiwa kinatakiwa kwa udi na uvumba yeye hawezi kukiuza jini mdumazi zohali umkalisha mtu kwa kumtia misukosuko matukio mabaya kupatwa na majanga asiyoyatrajia akaachwa au kutengana na mtu wake muhimu anaemsaidia bila ya sababu ya msingi au akafukuzwa kazi ghafla ili akae na kudumaa au akamfanya aishi maisha magumu sana akakosa ajira au kazi yoyote mahali popote akawa anahangaika tu hata kama anayo elimu ya kutosha au elimu stahiki au anayo taaluma ujuzi na kipaji vyote vindumaa na havimpi faida yoyote jini hudumaza hata uwezo wa mtu na udumaza akili na udumaza mtu asihame alipo hata kama hapana maslahi napo au hakuna faida napo jini huyu mdumazi udumaza hata kitu cha mtu au chombo chake kikadumaa hapo hapo mpaka kikafa iwe gari au mashine au eneo au jengo lake au eneo lake la biashara makazi basi ulitelekeza likadumaa asilijali wala kulishughulikia au kulikumbuka kabisa jini huyu mdumazi au jini zohali mtu akimpata basi mtu hyo kila jambo lake linadumaa lilipo haliongezeki halisogei mbele na wala halipandi juu linadidimia tu siku hadi siku kila kitu kinadumaa jini mdumazi ni hatari anaweza kumdumaza mtu kwa mtu au kwa tajiri asiwaze kutoka au kwenda pengine jini huyu mdumazi akikupata basi hata kama una kibanda chako unajenga unaweza usikimalizie kwa kudumaa nyumba ya kupanga watu wanahama wewe upo tu kama uhami utoki hata kama panvuja au panakero ujue umedumazwa na jini huyu bila kujitambua jini huyu mdumazi ni jini hatari sana udumaza hata maradhi yakakusumbua mwilini jini huyu udumaza hata watoto wakashindwa kukua vizuri udumaza mtu asitoke katika familia kimaisha akawa yupo yupo tu nyumbani hata kama ameshaanza kuwa na kazi na uwezo wa kujitegemea lakini akiwa na jini zohali jini mdumazi ushindwa kwenda mbela na kutoka alipo kwa kudumazwa na kiumbe huyu jini huyu yupo wa kukukumba mwilini tu na yupo wa kukusudiwa na mtu kiubaya kwa kukutumia lakini yupo ambae mtu anampata toka akiwa mdogo sana kiumri jini mdumazi ni hatari udumaza mpaka kiungo cha mwili wa mwanadamu kikadumaa sivyo alivyozaliwa jini huyu umdumaza mtu akashindwa kutoka alipo na kwenda kwingine hata kama alipo hapana maslahi wala tija na papo penye maslahi zaidi lakini akakwama kwa kudumazwa na kiumbe huyu jini mdumazi ni hatari sana awapo mwilini mwa mwanadamu huwa shida zaidi wapo wanaodumaa kwa kutoolewa na wanazeeka umri unakwenda kutoka na kuwa na jini mdumazi mwilini wapo wasiooa na wana uwezo na sababu zote za kuwa na mke lakini sababu yakuwa na jini mdumazi hawajaoa mpaka sasa na umri umekuwa mkubwa sana wapo waliodumazwa kwenye urafiki tu maisha yao yankwenda wanapata watoto na umri unaongezeka hawawazii hawafikirii wala hwaulizani wamedumaa tu na wanajukuu jini mdumazi umdumaza mtu yoyote yule iwapo atamuingia mwilini na jini huyu anambinu nyingi sana za kudumaza mtu na ukiwa nae mwilini huwa na dalili za kuwa mkorofi korofi na pia kukorofishwa korofishwa na kila mtu kugombana gombana kupatwa na maudhi maudhi kutopata mapumziko mahangaiko kuwa mengi sana kuliko kufanikisha mambo yako kukata tamaa haraka kuwa kisirani au kuchukia haraka ghdhabu hasira na kukosa subra kuwa mkalimkali kuhamaki na kuwa na pupa katika kila kitu dalili nyingi za mtu alie na jini huyu zohali hushindwa hata kuamua jambo kwa wakati kuwa mvivu kukosa khofu kutojali kuwa mbishi sana kujifanya kila kitu unajua au unaweza hata kama hukiwezi kujikera nafsi mwenyewe na kutoona aibu kwa ushauri tiba na maelekezo wasiliana dr tamba akusaidie kwa simu namba 0713616069 au  0784616069 au 0754616069 au 0773616069 ofisi ipo magomeni mikumi na barabara ya kawawa dar  es salaam majini wamejaaliwa kuingia au kukaa popote pale kwenye mwili wa mwanadamu hata kwenye unywele wa mwanadamu na usitambue na wana uwezo wa kujibadilisha badilisha kutoka umbile moja hadi jingine jini huyu mdumazi udumaza hata ahadi ya kitu miaka nenda rudi ukiwa na jini huyu mdumazi basi hata mambo yako yote yanadumaa tu hata iwe kesi mahakamani basi itadumaa jini mdumazi au zohali umdumaza mtu mpaka akajuta kuzaliwa wenzake wanapanda kimaisha yeye yupo hapo hapo alipo miaka yote hana lolote hata kikombe cha chai cha kumiliki jini huyu ukoroga sana mpaka mtu ujijutia mwenendo wako unapitwa hata na watoto wadogo kimaisha au kimaendeleo unaweza ukawa na kipato lakini kinadumaa hakikupi maendeleo yoyote na wala uongezeki  kikawa kikubwa na hata ukinunulia biashara upati faida yoyote na biashara haikui inadumaa mpaka inakufa
Na hata ukipanda mche utakufa au utadumaa haukui jini huyu mdumazi umdumaza mtu hata katika kizazi chake kinadumaa hakipati mafanikio au maendeleo jini mdumazi udumaza uchumi wa mtu haukui ulipo huwa hapo hapo maisha yote jini huyu mdumazi wakati mwingine udumaza hata maisaha ya mtu na udumaza mtoto akawa hakui jini huyu hatari sana na kwa alie nae huwa na dalili nyingi sana 
Nazo ni mtu kuwa mkali mkali kitojali kitu kupuuza puuza mambo kuwa mwenye dharau kuto ogopa kitu kuwa mwpesi wa kukubali lolote hata kama lina madhara kitotilia kitu maanani na kuwa si muelewa hizoni baadhi tu ya dalili ziponyingi sana

kwa ushauri tiba na maelekezo wasiliana dr tamba akusaidie kwa simu namba 0713616069 au  0784616069 au 0754616069 au 0773616069 ofisi ipo magomeni mikumi na barabara ya kawawa dar  es salaam

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment: