MCHICHI SENDOFF PARTY @ NEW ARUSHA HOTEL LIVE FROM A-TOWN!!!


YES!!!! WADAU WANGU NIKIRIPORT TOKA ARUSHA TOWN, IT'S CATHERINE's SENDOFF @ NEW ARUSHA HOTEL...HUKU NI HATARI HAPANA CHEZEYA TEAM NZIMA YA BUSINESSLADIES WAKO HAPA, HIZO NAIJA SWAGGA NI ZA KUTISHA, MAMBO NI MENGI SANA  
DECOR../// BY CATHERINE COCOPAZO
 CAKE
 
MCHICHI's ACCESSORIES NAIJA SWAGGA YA UKWEE'E
MAMA MREMA COSMAYA AKIWA WA CHEFS FROM NEW ARUSHA HOTEL, HAKIHAKIKISHA CHAKULA KIKO SAWA...
BEAUTIFUL COSMAYA, MAMA MREMA MWENYEKITI WA KAMATI

ANGEL MCHICHI's SIS
ASYIA IDAROUS AKIFUNGA NAIJA LEMBA..

 
 
 
 


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. mbona picha chacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete
 2. KWELI BANA PIC CHACHEEEE MI BADO ATAMAN KUONA MAPICHA PICHA TUUUUU

  ReplyDelete
 3. jaman mnatunyima uhondo picha chache na waliohudhuria ni wengi tuwekeeni picha tuone jins watu wametokelezea

  ReplyDelete
 4. JAMANI PICHA CHACHE HALAFU BI HARUSI MI SIJAMWONA

  ReplyDelete
 5. Picha za maharusi hatujaziona mashughuli

  ReplyDelete