Sponsor

ASIA & BAOME WEDDING RECEPTION!!!!!!

7:18:00 AM

Bride                              ::Asia Maulid
Groom                           ::Baome Kiwamba
Event                             ::Wedding Reception
Venue                            ::Akemi
Décor                             ::Partybox Events
Makeup                        ::Glambox
Cake                              ::Eben Cakes
Color                             ::Silver, Pink & Gold
Bride-Dressed               ::Beauty Point
Groom-Dressed             ::Sheria Ngowi
Photoby                         ::Mashughulimedia - +255655426100/758266701
ILE WEDDING RECEPTION ILIYOKUWA IKUSUBIRIWA KWA UPAMBE WAKE MASHALLAH!! WADAU TUKO JUU KAMA MUASHOKI VILE, ASIA & BAOME WAPENDEZA SANA , BAOME AKIVISHWA NA DESIGNER MKUBWA SHERIA NGOWI, ASIA AKIVISHWA NA BEAUTY POINT MASHALLAH, NINGEPENDA KUONGEA MENGI IKIWEMO DECOR, CAKE, SWAGGA ZA MAIDS KUANZIA SALOON, KUHUSU HII HARUSI NGOJA NIKUACHIE WEWE MDAU MACHO YAKO YAONGEE....

NOUR AZIZ DADA YAKE ASIA NA SOMO YAKE PAMBE TU, MWARI JIPENDE KAMA SOMO......
ASIA & BAOME WAKIINGIA UKUMBINI....
DECOR.....////
INTRO....///
CAKE
NAIJA WATASUBIRI SANA CHEZEA SISI...
BURUDANI
CHAKULA
ZAWADI
NOUR AZIZ AMBAYE NI DADA NA SOMO WA ASIA PAMOJA NA BINTI YAKE 

DADA\SOMO AKIKABIDHI SANDUKU KWA BI HARUSI
NYUSO
NAILA BINTI YAKE NOUR AKIWA ANGELA BONDO 
RED CARPET
NAILA & DESIGNER SHERIA NGOWI
NEXT BRIDE TO BE...You Might Also Like

4 comments

 1. masha a Allah masha a Allah m'mungu akawalinde daima dawamu na akawape vizazi vyenye kheri na wao.harusi imependeza simple & classy

  ReplyDelete
 2. nice wedding allah awajalie maisha mema yenye furaha siku zote

  ReplyDelete
 3. hongera sana mazindeeeee kiukweli ulilipuka yani no comment nawatakia maisha mema

  ReplyDelete
 4. Sherehe ilikua soooo classy, mashallah.

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.