Sponsor

MAMA SALMA MNTAMBO KOROGWE!!!!

1:08:00 PM

 KATIKA HANGAIKA YANGU JUZI NILKUWA KOROGWE KWA KAZI ZANGU ZA PICHA, BASI NILIFURAHI SANA KUMUONA MAMA YANGU SALMA NA AKATUKARIBISHA KWAKE KWA CHAI YA JUMATATU ASUBUHI.....NAJUA MWAMJUA NI YULE INJINI YA JIJI......!!!! TUKIONGEA MAWILI MATATA NA MAMA SALMA, KANIKARIBISHA KOROGWE....
 MAMA SALMA MNTAMBO NA BIGO
 MAMA NA WANA KOROGWE....
 MWARI ASANTE KWA CHAI NA SAMAKI.....
SALMA MNTAMBO CUP, UMEIONA HIYO, HAWA NA WANA KOROGWE MBALIMBALI WALIOKWENDA KUMSALIMIA 

You Might Also Like

2 comments

  1. Huyu Mama ana roho sana jamani, yani namuombea sana dua afanikiwe kwa hilo analolihitaji

    ReplyDelete
  2. Mungu atazidi kumuongoza big up kizee

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.