DALILI KUU ZA MTU KUWA NA MAJINI MWILINI MWAKE IMA WABAYA AU WAZURI!!!!

 Sehemu ya 2 tunaendelea kila jumanne Dr, Tamba atatoa makala hapa hapa mawasiliano yanapatikana zama ndani..
Hizi ni dalili ambazo mtu ukiwa nazo basi inawezekana ukawa na tatizo la kuwa na majini mwilini mwako majini ni viumbe walioumbwa na mwenyezi mungu kama tulivyoumbwa sisi wanadamu lakini wapo wazuri na wabaya na wapo wacha mungu na wapo waasi majini walumbwa nasi wnadamu ili tumuabudu
yeye mwenyezi mungu majini wapo wengi kwa idadi kuliko sisi wanadamu nao ni viumbe wa mwanzo kuumbwa kabla yetu vitabu vyote vinasema hivyo kwa mujibu wa maandiko leo nazungumzia dalili hizo kwa uchache tu unaweza kukwama mambo yako ysiende vizuri kila ufanyalo haliwi kukosa amani kuwa na dhiki ya nafsi kukosa furaha kuharibikiwa kila ufanyacho kuumwa umwa mara kwa mara kupatwa na vikeazo pingamizi ugumu na uzito kwa kila ufanycho kushindwa kufikia malengo yako kutopata misaada kukosa ajira hata kama unazo sifa na sababu za kuajiriwa lakini unakosa kutopata kazi kukosa mvuto muonekano kutokubalika kukosa mume au mke hata kama unazo sifa za kuolewa au kuooa kubaki ulivyo miaka nenda miaka rudi kutodumu katika mahusiano au ndoa kuachwa achwa na kuwa na mahusiano na wanaume wengi au wanawake wengi kukosa hadhi au thamani hata kama una haki ya kuwa na hadhi kudharaulika kutoheshimika na kukwama kila ufanyacho kuishia kati kutofikia mwisho ukipata pesa haikai ukiahidiwa haiwi na kuvurugikiwa na mambo yako mara kwa mara kupatwa na matatizo mfululizo kukosa hamu ya tendo la mndoa au kupenda sana kufanya ngono kukosa nguvu za kiume kuchoka haraka kutopenda wanaume kupenda harufu nzuri sana kuumwa kichwa upande mmoja kuhisia kitu kikatokea au kuota ndoto ikatokea kama ulivyoota kuogopa watu kuwa na khofu mara kwa mara kuwa na wasiwasi kutetemeka mwili au kuhisi kutambaliwa na vidudu kama nyenyere kusisimkwa mwili kuchoka choka bila kufanya kazi ngumu kuwa mvivu kukosa usingizi  kuota unapaa angani kuota maiti au unazika kuota unazaa au unafanya mapenzi kwa raha zote na mtu unaemjua au usie mjua kuota unalea mtoto au unazaa kuota unafukuzwa na watu au wanyama kuota vita au wanajeshi au unapigana kuota majoka kuota simba au wanyama wakali mara kwa mara kuota harusi unaoa au unaolewa kuota unachezeana kimapenzi na mwanaume au mwanamke au mpo wa jinsia moja kuchukia kufanya tendo la ndoa kufika kileleni mapema na kukosa kila utakalo kwa wakati kusikia sauti kama unaitwa kwa mbaali kusikia harufu nzuri kama ya manukato kuhisi kama umepitiwa na upepo ghafla au umepishana na mtu macho kuwa giza ghfla na kisha kurudi kama yalivyo kwenda mbali kihisia kupatwa na ganzi baadhi ya viungo  na kutoweka mwili kuwa mara joto kama unaunguzwa mara baridi kali sana hata kama ulipo panajoto kusemasema peke yako midomo kucheza cheza au meno kusagana sagana kuota bahari unaogelea au unavuka bahari au mto mkubwa kuota unamiliki mali au vitu vya thamani kama dhahabu almasi madini majumba ya kifakhari magri na vitu mbalimbali hata kama wewe huna zote ni dalili za kuwa na hao majini majini wapo wengi wazuri pia huweza kuwa kikwazo na msaada lakini wabaya nao huwa ni hatari na pingamizi na wapo wakutumwa kwa kukusudiwa wapo ambao anaweza kukumba tu maishani mwako au umempata kutokana na mtu mwingine anae kuhusu wapo wskuzaliwa toka ukiwa mdogo wananguvu sana na unaweza usipate mume maisha hata kama mzuri zaidi ya cliopatra na pia unaweza kutopata mtoto au kutoshika mimba kabisa au ukishika zikawa zinatoka tu unaeza kwenda kila hospitali na ikaonekana upo uwezo wa kuzaa mayai yapo safi njia mirija vyote havina tatizo lakini ukakosa kupata ujauzito sababu zikawa majini na pia wapo majini usababisha mara ukakutwa ns uvimbe tumboni mara mirija kuziba lakini ukafanyiwa upasuaji au tiba husika bado tatizo likawepo na ukakosa kuzaa au kushika mimba majini ni viumbe wenye nguvu na usumbua sana jamii pia usababisha majanga nuksi mikosi mabalaa vifungo na hata kuharibu muelekeo wa mtu kimaisha majini ni viumbe hatri sana wapo majini mahaba majini makat subiani majini vifungo majini wa nuksi na mikosi wapo majini wa kichawi majini wa asili majini miizimu majini wa ksasi majini kisirani na majini wa misukosuko kwa mwanadamu majini umpoteza mtu muelekeo hata kiuchumi na kipato umfilisi na kuharibu biashara zake na mustkbali wa kila jambo lake maishani majini uharibu hata elimu au taaluma ya mtu au kipaji chake akawa si lolote si chochote upoteza sifa na umaarufu wa mtu wapo majini wadumazi hawa umdumaza mtu akawa yupo hapo hapo alipo miaka yote uitwa jini zohali ni hatari sana na kila mmoja huwa ana athari zake zaidi leo nakusudia kuelezea baadhi tu ya dalilili kuu za mtu kuwa na hao majini mwilini mwake ni vyema mwanadamu ukajiuliza una tatizo gani muda unakwenda ufikii malengo yako au mbona unakwama au vp unaporomoka au kwanini upati utaftacho je kawaida tu pia hata katika mwili kiafya na kimaisha pia au matukio yakupatayo ni kawaida au nini tatizo binadamu hawi kama mnyama huu ni mtazamo tu wa darasa hili kwa ushauri tiba maelekezo wasiliana na dr tamba kwa namba 0713616069 au 0784616069 au 0754616069  ofisi yake ipo magomeni mikumi na bararbara ya kawawa dar es salaaam tanzania ni somo kubwa juu ya majini na matatizo mbalimbali yanayohusu matatizo haya kwa jamii .lipo somo la utabiri na mtu kuijua siku yake ya bahati rangi yake ya bahati nyota yake kuu na utawala wa nyota yake asili ya nyota hiyo na tabia ya nyota iwapo mtu anayo kimafanikio au vikwazo na pingamizi nini kinapinga nyota yake kuonekana au kuchanua au kutopata mafanikio na je anazo nyota ngapi kwa idadi mwilini mwake. Haya yote ytapatikana kupitia hapa katika somo hili fuatilia upate kujua

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment