Sponsor

BONGOMAKEUPHOUSE LAUNCH EVENT!!!

3:40:00 PM

NI UZINDUZI WA SALOON MPYA KABISA YA KISASA YENYE KUKIDHI MAHITAJI YAKO, TAREHE 11/04, WADAU WAMEKAMILIKA KILA KONA BONGOMAKEUPHOUSE. NDANI YA JUMBA HILO UTAPATA HUDUMA TOFAUTI KAMA VILE KUTENGENEZA KUCHA, NYWELE, MAKEUP, MASSAGE, FACIAL & KWA WALE WATARAJIWA KUNA NGUO ZA MAHARUSI, SHEREHE ZA KUZINDUA BONGOMAKEUPHOUSE ZILIFANA..ZAMA NDANI KUJIONEA MUONEKANO KAMILI WA BONGOMAKEUPHOUSE
WANAPATIKANA:: MSASANI (NYUMA YA MSASANI MALL)
MAWASILIANO:: +255 652 000 009
INSTAGRAM:: "BONGOMAKEUPHOUSE"


COCKTAIL TABLE SETTING
MUONEKANO WA BONGOMAKEUP HOUSE NA VITENGO MBALIMBALI VYA HUDUMA TOFAUTI
 MAPOKEZI (RECEPTION)
HII NI SEHEMU YA KUTENGENEZA KUCHA..
MAKEUP STUDIO
SALOON YA NYWELE
MASSAGE  & FACIAL ROOM
JACK AKIFANYIWA SIMPLE & QUICK MAKEUP...
MKURUGENZI WA BONGOMAKEUPHOUSE ALIWAPOKEA WAGENI NA KUWATEMBEZA VITENGO TOFAUTI VYA BONGOMAKEUPHOUSE, KAMA VILE SEHEMU YA KUTENGENEZA KUCHA, MASSAGE ROOM, KITENGE CHA NYWELE, NA MAKEUP STUDIO

SALMA MSANGI, TV PRESENTER, BLOGGER & FASHIONISTA AKITEMBEZWA SEHEMU MBALIMBALI ZA BONGOMAKEUPHOUSE 


NGUO ZA MAHARUSI PIA ZINAPATUKANA

PACO
NYUSO MBALIMBALI WAKIMSUPPORT JACK "STARZ" WA BONGO
DESIGNER MARTIN KADINDA & JACK
MIE & DESIGNER MARTIN KADINDA
DESIGNER MARTIN KADINDA & FRIENDS WAKIMSUPOORT JACK
RIO PAUL DESIGNER

DEVOTA 
DAN & DEVOTA
WAFANYAKAZI WA BONGOMAKEUPHOUSE WAKIWA NA MKURUGENZI JACK
KHADIJA, JACK, MASHA & DIVA DEVOTA
MASHA, JACK & KHADIJA MWANAMBOKA
 MASHA...
JAMES, JACK, MISHY & DAN

WAFANYAKAZI WA BONGOMAKEUPHOUSE
JACK & DAN

GREEN CARPET

You Might Also Like

1 comments

  1. SO SO NICE!!!!! KEEP IT UP BABY.

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.