Sponsor

BLACK FOX YAENDELEA KUWANOA VIJANA KUHUSIANA NA FANI YA MITINDO!!!!!

5:52:00 PM

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Black Fox Model, Aj Mynah akizungumza na vijana waliojitokeza kujifunza fani ya anamitindo katika klabu ya Paparazi iliyopo Sleep way Masaki.

Somo likiendelea na Aj kwa sasa anawafundisha kuhusiana na fursa zilizopo kwenye fani hiyo kuanzia maslahi na mengineo
Wanafunzo wa uanamitindo wakiwa wamepozi wakionesha njonjo zao baada ya kunolewa na AJ


Wanafunzo wa uanamitindo wakiwa wamepozi wakionesha njonjo zao baada ya kunolewa na AJ
I really like her initiatives, she so amazing
AJ akiwa
amepozi na wanamitindo hao wanafunzi katika klabu hiyo ambapo hukutana kila Jumapili kuanzia saa tatu asubuhi kujifunza mambo yote yahusuyo uanamitindo


<!--[if gte mso 9]>

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.