SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI!!!

 
Usiku wa mwanamke ni jumapili 8th march 2015 katika bustani ya Safari Carnivore Mikocheni B, kuanzia saa 2 usiku, burudani ya taarab ya gusagusa miniband ikipamba na waimbaji nyota:-
- SABAH MUCHACHO
- SHAKILA
- AFUA SULEIMAN
Vazi rasmi usiku huo ni african prints, kutakuwa na special red carpet kwa ajili ya waalikwa, wabunifu na wanamitindo pia watakuweko katika red carpet. Ticket zinapatikana fabak fashions na safari carnivore kiingilio ni 10000/=  kwa mtu mmoja wanaume pia wanakaribishwa

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment