Bride ::Shumbana
Groom ::Shomari
Event
::Aqdi
Venue
::Msasani
Tower
Themed ::Indian
YES LEO NI AQDI YA SHUMBANA & SHOMARI, PENDEZA SANA MAHARUSI NA INDIAN THEMED, KAMA KAWAIDA BI HARUSI KAFUNIKA,YUKO VERY SIMPLE BUT EXPENSIVE, HENNA PERFECT....
SASHA & ODO WAKE
BWANA HARUSI AKIMPA MKONO MKEWE
SHOMARI NA SHUMBANA WAKISAINI VYETI
BWANA ARUSI AKIINGIZWA KULA SORO
BWANA ARUSI SHOMARI NA MPAMBE WAKE WAKIFUNGWA KAMBA MIGUUNI
WAKAGOMBOLEWA ILI WALE SORO NA MANYAMANYAMA
SOMO AKITUNZWA
MWARI AKIMKOSHA SOMO
MIRIAM AZIZI AKIMKOSHA NURU
ASHURA AKIMKOSHA SHOSTI
WEMA & BESTIES WAKIMKSHA DADA
WAKWE WAKILETA SANDUKU
BURUDANI
CHAKULA
NYUSO
BABY SASHA.....
ASHURA......
WEMA & AUNTY
MAMA NA MWANA
NURU & MAARUSI
MAMA MZAZI
WEMA BESTIES & MAARUSI
PENDO & MAARUSI
JUNAITHA, PENNY & MARUSI
MAMA MLEZI NURU SEPETU
WEMA
SASHA & BIBI
WEMA & MAARUSI
imependeza sana
ReplyDeleteimependeza sana
ReplyDeleteJamani, ni nzuri saana, waalikwa nao Momba, Niseme ukweli jamani Bi harusi ni Cute, Black is beautifu. May you please maintain yr colour baby!!! MUNGU AKUBARIKI KATIKA NDOA YAKO, KIFO TU NDIO KIWATENGANISHE. AAMMNY.
ReplyDeletemy classmate Shumbana, Mungu awabariki sana.
Delete