RASHID & FARIDA AQDI!!!

LEO TWAKAMILISHA  LILE ENDO MUHIMU LINALOSABABISHA SHEREHE KUWEPO, AQDI YA RASHID & FARIDA, MAHARUSI WALIPENDEZA SANA, HAPA NI MAULID NA KULA BAADAYE MUME ANAONDOKA NA MKE...!!!!

SISTERZ FOREVER!!!
BWANA HARUSI AKIINGIA
MAULID
BWANA HARUSI AKIINGIA
FARIDA AKIMSUBIRI MUME WAKE
DADA WAKIGOMA MPA WALIPWE
RASHID AKISOMA DUA KWA MKEWE ILI AMPE MKONO WA KWANZA
CHAKULA
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
RED CARPET

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

 1. Heshima na Taadhima kwa wana Harusi na waliohudhuriya ..kweli mnamaadili mema... Mumethibitisha !! InshAllah harusi ya kudumu na vizazi vema mjaaliwe. AMIN hakika mumupendeza vilivyo NOORu alaa NOOR !!
  Sikuona Israfu au ubadhilifu katika maanadlizi " hii kweli ni harusi ya halali na yakuigwa "
  Taswira ya kipekee, wote mubarikiwe na moula karimu. AMIN

  ReplyDelete
 2. Mashaa allah,mmpendeza, Bi harusi Bomba, Make-up ni nani jamani nimempenda nielekezeni. Make-up ipo bomba kapendeza saana.
  Mola ajaalie ndoa iwe ya raha,amani na idumu daima.Amin.

  ReplyDelete