ONJA:: PERPETUA's KITCHEN PARTY!!!

 HAYA HAYA WADAU, KAMA TUONAVYO SI NAIJA NI HOME SWEET HOME, NI WANAWAKE WA KITANZANIA, NI KIKUNDI CHA KINA DADA  KIITWACHO "WIN GROUP", WAMEMFANYIA MWANACHAMA MWENZAO SHUGHULI YA KITCHEN PARTY BAADA YA KUPATA MCHUMBA, BIG UP NIMEPENDA SANA PICHA ZAIDI ZAJA NIMEKUONJESHA TU

WIN GROUP WALIKUWA WAKWANZA KUMFICHUA NEEMA KWA DOLLAR MKONONI SIO ZILE ETI DOLLAR TANO KILA MTU KASHIKA DOLLA 200...Mhhhh! USILIE UKASEMA TUNA SHIDA SEMA NINA SHIDA...!!!
WAKIFURAHIA ZAWADI TOKA KWA PERPETUA
WALIJITUMA KIKAMILIFU WOTE.....
WALIPANIA EEHH!!
PERPETUA, STILL PICTURES & VIDEO TUMEFANYA SISI MASHUGHULIBLOG, "WSWG" TUPIGIE +255 655 426 100
MKAO ULE ULE PICHA ZAIDI ZAJA....

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. wamependeza sanaaa!inaonyesha shughuli ilikuwa pambe!i cant wait for the pictures!!

    ReplyDelete
  2. Ndoa ni kitu chema.. mungu aibariki familia yako perpetua... ukawe mwanamke mwema.. umependeza saaana.. pongezi kwa win group

    ReplyDelete