Sponsor

NEW ARRIVAL @MASHUGHULI HOUSE OF FASHION!!!

2:32:00 PM

MZIGO MPYA WA HANDBAG NA SHANGA UMEWASILI MASHUGHULI HOUSE OF FASHION, ZAMA NDANI UJIONEE......

TUNAPATIKANA                      ::MANYANYA KINONDONI (OPP.NBC BANK)
MAWASILIANO                        :: +255 655 426 100 \ 758 266 701
FOLLOW US INSTAGRAM     ::"MASHUGHULIBLOG"

SHANG SHANGA KAMA UJUAVYO UKITAKA UTOKELEZEENA VAZI LAKO IWE NI KITENGE, NA NYINGINEZO.....SHANGA ZA UKWEE'E
 MIX & MATCH..........
MASHUKA 
PENDEZA NA ULALE PAZURI EEH
6X6 

You Might Also Like

6 comments

 1. helo, tuwekee basi bei jaman wateja wako wengne tuko mikoani

  ReplyDelete
 2. Kiweka Na bei itapendeza zaidi, mi nimependa pochi
  .

  ReplyDelete
 3. Tunaomba bei mashughuli.

  ReplyDelete
 4. Ni kweli weka bei, ili mtu ajue anatakkiwa aje na how much, maana wengine tupo mbali, hata nikisema natoka moro nije ninunue dar, nikishafika dukani naweza kuwa sina pesa ya kutosha/sio pesa niliyokadiria! Bora bei iwepo ili mtu ajue anakuja kununua bei gani. Nimependa sana. Necklaces. Pengine wateja wako wengine hawwatopenda uweke bei humu, it's fine, unaweza kuweka kundi la say necklaces ukasema tuu hizi necklaces zina range from Mfano 30 thsnd to 50 thsnd. Mtua anakuwa anajua bei kwa namna hiyo

  ReplyDelete
 5. janai pochi na shanga ni nzuri mno na hayo mashuka sasa jamani plz tuwekee bei tupo mikoani tuagize chap

  ReplyDelete
 6. nimependa pochi ila nipo mkoani ingekuwa vzr km ungeweka na bei

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.