Sponsor

AKWAABA FASHIONS!!!!

2:32:00 PM

YAP AKWAABA FASHION "LOOK ELEGANT IN AFRICAN STYLE" NINA WATAMBULISHA DUKA LA NGUO ZA KIAFRIKA PAMOJA NA HANDBAG, VIATU, SANDALZ ZA KIUME PAMOJA NA NGUO ZA KIUME ZILE IGWEEEEE, NGUO ZAO NI ORIGINAL TOKA WEST AFRICA, WALE WAPENZI WA AFRICAN TOUCH ZA UKWEE'E HAPA NDIO SEHEMU YAO, KITU KIZURI AFRICAN WEAR HAZIJUCHI FASHION, ZAMA NDANI UJIONEE, USEMI WANGU ULE ULE KIZURI CHAJIUZA.....!!!

WANAPATIKA:: FREE MARKET GHORAFA YA KWANZA DUKA NO:: F6
MAWASILIANO:: +255 715 222 307
DUKA LINGINE LA AKWAABA FASHIONS YANAPTIKANA:-
MWENGE LUFUNGIRA KARIBU NA COUNTRY BAKERY GETI LA NYUMA YA KANISA KA KAKOBE
MAWASILIANO:: +255 756 380 497

SANDALZ
VIATU
 NGUO ZA LINEN ZILIZODARIZIWA
 
HIZI GUO NA SURUALI YAKE
KITENGE MAX DRESS
 
VIGAUNI VILE VYA LINEN
WRAPING BATIK SKIRT
ZIKO TAYARI WEWE UNATAFUTA BLOUSE TU
VITENGE ORIGINAL
 ASHOK
ASHOK ZENYE SWAGA ZA KENTE
SANDALZ ZA KIUME PUREEEE LEATHER
 NGUO ZA KIUME ORIGINAL BATIK
SURUALI & SHIRT FULL LINEN
 ZILE NGUO ZA INGWEE 3PC
AFRICAN SHIRT
LINEN SHIRT LENYE VITUPI VYA KENTE
LINEN NZITOYou Might Also Like

4 comments

 1. Du!!! nimezipenda kama ungetuwekea bei ingependeza zaidi

  ReplyDelete
 2. wekeni bei ili pliiiiz

  ReplyDelete
 3. nadhani bei itakuwa ya kufa mtu

  ReplyDelete
 4. hapa bei naona ni yakutosha kabisa,bidhaa ni njema mno kwa kweli

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.