Sponsor

S&D COLLECTION BOUTIQUE WAWAIMARISHA WASHIRIKI WA REDDS MISS TANZANIA 2014!!

1:20:00 PM

Haya haya wadau lile shindano kubwa la Redds Miss Tanzania lanukia, duka la nguo la S&D Collection Boutique ni moja kati ya wadhamini wa shindano la Redds Miss Tanzania 2014, S&D Collection Boutique watahusika na kuwavisha warembo hao, wametembelewa na warembo wa shindano hilo mwaka huu, katika kuwaimarisha na kuwaongezea kujiamini walipata muda wa kuongea na Sophia Byanaku mtaalam wa maswala ya Health|Wellness|Fitness 

 Sophia Byanaku mtaalam wa maswala ya Health/Wellness/ Fitness akiongea na washiriki.....
 Makoye, mkuu wa itafiki akiongea na washiriki 
 WASHIRIKI WAKIWASIKILIZA KWA MAKINI
 MATRONE WA WASHIRIKI WA REDDS MISS TANZANIA 2014
WAREMBO WAKIPATA CHAKULA CHA MCHANA NDANI YA DUKA LA NGUO S & D COLLECTION BOUTIQUE
 WASHIRIKI WA MISS TANZANIA 2014 WAKIWA NA MKURUGENZI WA S&D COLLECTION BOUTIQUE AMBAO NI MMOJA KATI YA WADHAMINI WA SHINDANO HILO MWAKA HUU
Picha za washiriki wa Redds Miss Tanzania 2014

You Might Also Like

2 comments

  1. Dada helen huyo ulopiga nae peke yake ndo ana vigezo wengine hhhm

    ReplyDelete
  2. Aunt hellen hako katoto hapo mwisho kushoto kwako uliepiga nae ndio hasaa anafaa kuwa Miss Tanzania kiukweli hata kama hana ngeli na hicho kifaransa ni bora angefundishwa ndani ya mwaka akaiwakilisha vema TZ yetu simjui wala cjui anatokea upande gani hapa TZ ila anastahili sifa kiukweli

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.