NEW ARRIVAL LACE MATERIAL @MASHUGHULI HOUSE OF FASHION!!!

 HAYA HAYA WADAU WANGU NI MWENDO WA LACE SASA, LACE ZA UKWEE'E RANGI MBALIMBALI, WALE MABIHARUSI WATARAJIWA WANAPATA  KWA AJILI YA KITCHEN PARTY PIA UKIHITAJI KWA SARE PIA ZINAPATIKANA RANGI ZAKE NI NZURI ZINAWAKA, KARIBUNI DUKANI UONE QUALITY, WASILIANA NASI KWA MAELEZO ZAIDI
TUNAPATIKANA                      ::MANYANYA KINONDONI (OPP.NBC BANK)
MAWASILIANO                        :: +255 655 426 100 \ 758 266 701
FOLLOW US INSTAGRAM     ::"MASHUGHULIBLOG"
ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 KIJANI
 PURPLE
GREEN APPLE
 BLUE
 RED
 HOT PINK
 LIGHT BLUE YENYE MGARO WA GOLD KWA MBALI
 GREEN
 PEACH YENYE MGARO WA GOLD LWA MBALI
 PURPLE
 GREEN APPLE
 CREAM
 WHITE
 PEACH
 BLACK

 BABY PINK
HAPA TUMEKUKAMILISHIA, UTAPENDEZAJE?? 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

 1. hizo lace bei gani

  ReplyDelete
 2. hongereni sana mashughuli kwa kazi nzuri, na picha nzuri sana..... camera zenu ni kiboko! maana tunaona picha halisi ya kitu au mtu alivyo, na kama ni shughuli yani tunashiriki shughuli nzima bila kiingilio kwa kweli mko juu, juu, juu zaidiiii.........

  ReplyDelete
 3. ������Kweli kabisa tunakuwa km waalikwa...
  Hzo lesi zinanikilling me��

  ReplyDelete