TULIANZA NA MAHARI YA HINDU, WENGI MLIULIZA YU WAPI BI HARUSI, HUYU HAPA BINTI MREEEMBO MWENYE TABASAMU LA KUVUTIA MASHALLAH, LEO NI SIKU YA HINDU KUPELEKWA KWA SOMO, HAPANA CHEZEYA WANA WA KARIAKOO SHURTI KWA SARE, WAO HAWAKUTAKA MAHARI YA KITHUNGU WANATAKA KUTUONYESHA ASILI, WANASEMA "MWACHA ASILI MTUMWA"
SOMO NA MWARI
MWARI AKIPELEWA KWA SOMO
BENBATI LA HAJA
MWARI AKIINGIZWA KWA SOMO
NDUNDU YA KUMFUNDIA MWARI IKIWA IMEBEBWA NA SOMO
NDUNDU HIYOOO
MARIAM BEST, TATU & HABIBA KWA NYUMA
MWARI AKIENDA KUFUNDWA NA MANYAKANGA WA UKWEE'E
HUKU WANA WA KARIAKOO WAKICHEZA VYA HAJA
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA MWANAIMA, MAMA YA SPARE ZA MAGARI HAPANA CHEZEYA
HAFSA & SALMA MAHANSEN
HABIBA MAMA YA MATELEPHONE & SHOSTITOS
MAMA MZAZI WA HINDU NA DADA YAKE ODO SALMA MAHANSEN
MAMA MZAA CHEMA MWANAIMA NA NDUGUZE
WATU HAO NA SARE ZAO
HINDU & FRIENDS
TABU & SHOSTITO
WAZAZI HAFSA & MWANAIMA
RED CARPET
Jamani watu wanapenda shughuli sijapata kuona mmmhhh kazi kweli kweli.
ReplyDeleteDooooh kweli mjini uwanja wa fujo. Watu wana matashititi hatareee
ReplyDeleteHalafu bi harusi mtarajiwa kwa mbaali kama anataka kufanana na marehemu Amina Chifupa
ReplyDeleteBi harusi mzuri maashallah.....
ReplyDeleteJAMANI MWALI HAFUNDWI HADHARANI
ReplyDeletemmependeza hongera sana
ReplyDeletekheee! shuti makubwa bongo watu wanapenda shughuli atari! kupelekwa kwa somo uwii!! bi harusi mtarajiwa kichuna mashallah> mdau from znz
ReplyDeletemmm! we nawe wachi, kimekukera nini? anyo 11:52 oct 26
ReplyDeletebi harusi kishuna mashallah....ila haya ya kufunzwa hadharani hata mm naona ni sheeedaaaahhhhh
ReplyDeletebi harusi amependezA
ReplyDelete