BIRTHDAY PARTY YASMINAFUA!!!!

Event                    ::Birthday Party
Makeup                ::Asila Bridal +255 717 616 852
Dressedby            ::Yasmin
Venue                   ::Yasmin Resident K-nyama
Colour                  ::Red & White
Caterer                 ::Talma Caterer
Still Pics               ::Mashughuliblog +255 655 426 100
YES NI YASMINAFUA AKISHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA, YEYE ALIAMUA KULA DINNER NA MARAFIKI ZAKE PAMOJA NA FAMILIA NYUMBANI KWAKE, HUKU TUKIJURSUHA NA LIVE BAND YA GUSAGUSA MIN BAND, SHUGHULI PAMBE, BIRTHDAY GIRL AMEPENDEZAJE, ASILA BRIDAL KAMPENDEZESHA.....!!!
MAKEUP BY ASILA BRIDAL +255 717 616 852
 YASMIN NA MAMA YAKE KIPENZI BI AFUA
 YASMIN AKIWA NA DADA ZAKE SOPHIA & AZIZA
   BIRTHDAY GAL YASMIN AKITOKA NA KUIMBA KWANZA....!!! MTOTO WA NYOKA NI NYOKA SAUTI DUUUH
BI AFUA AKIMTUNZA BINTI YAKE
BURUDANI
GUSAGUSA MIN BAND WAKIIMBA LIVE, GUSAGUSA NDIO MAPANGO MZIMA
WANAPIGA KWENYE SHUGHULI MBALIMBALI 
MAWASILIANO.:+255 713 343 342
 YASMIN AKIKATA CAKE
 

 MAMA NA MWANA MASHALLAH...!!! PENZI LA MAMA TAMU JAMANI...
 DADA SOPHIA AKILISHWA KEKI
 DADA AZIZA AKILISHWA KEKI
 AKIWALISHA WATOTO WA DADA ZAKE
BABY CANON ALISHINDWA KULA KEKI KWA USINGIZI.....!! 
 
SOMO AKILISHWA KEKI KWA HESHIMA
  YASMIN AKIPEWA ZAWADI NA KUKOSHWA
SOMO LILIAN KESSY AKIMPA ZAWADI MWARI WAKE, KAMVISHA FLAT ZA UKWEE'E 
 ZAWADI NZURI TOKA KWA RAFIKI CHETEZO
 TABU AKIMPA ZAWADI DOGO LAKE LA UKWEE'E
 KHADIJA AKIMPA ZAWADI YASMIN
 FARIDA TOM ALIANZA KUMKOSHA SHOSTI WAKE MIHELAAA
KISHA MASHOSTI WAKAFANYA FUJO YA KUMTUNZA YASMINE
FAIDA AKIMPA ZAWADI YASMIN
 CHAKULA
 NYUSO
 SHARIFFA, MARIAM & HALIMA
 YASMIN & MARIAM
 FARIDA & FRIEND
  ASHA & FRIEND
 BI AFUA NA SHOSTI WAKE WA UKWEE'E REHEMA
 AFUA, REHEMA & FARIDA 
TABU MABOBISHI & SHARIFFA
 SHARIFFA, SAMEERA  & HALIMA
 YASMIN & MARIAM
 YASMIN & MWAKA
 SALIM & FAIDA
FARIDA, YASMIN & MAMA (BI AFUA)
CLOSER LOOK
 
 
 
SISTERS FOREVER
HALIMA, YASMIN, SAMEERA & MARIAM
 YASMIN, MWAKA & FRIEND 
 FAIDA, BI AFUA & FRIEND
FAIDA, YASMIN & FRIEND
 RED CARPET
MARIAM
 
MARIAM MNTAMBO
 MWAKA
 
ASHA TOM
 
 FARIDA TOM
KHADIJA
 MJUKU WA BI AFUA
 SAADA
 MARIAM & FRIEND
TABU & SHARIFFA
 AZIZA, YASMIN & SOPHIA
 YASMIN & MARIAM 
 YASMIN, MWAKA & FRIEND
 YASMIN & MARIAM
 SHARIFFA & MARIAM
 HALIMA, YASMIN, SAMEERA & MARIAM
YASMIN &  SHARIFFA 
 LILLY KESSY
 YASMIN & MARIAM
 SHARIFA, MARIAM & HALIMA 
HALIMA & SAMEERA
 FRIENDS OF JANGWANI.....
SWAGGA
SHIKAMOOO!!!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. lol wanawake wabahili wale saa ndio wametunza nini? mwageni mahela nyie wacheni ubahili mwenyewe kapendeza mi kibonge kama birthday gal gauni lake nimelipenda kweli

    ReplyDelete