AWAMI & BARKHE WEDDING RECEPTION!!!

Bride                     ::Awami
Groom                  ::Barkhe
Event                    ::Wedding Reception
Venue                   ::Khan Khazana
Cake                     ::July's Cake
Color                    ::Yellow, Red & Aqua Blue
Makeup                ::Asila Bridal - +255717616852
Dressedby            ::Twaiba Classic Centre - +255653373737
Still Picture          ::Mashughuliblog  +255655426100 
YES WADAU NI HARUSI NYINGINE YA KUSHARE NANYI, WEDDING RECEPTION KATI YA WAWILI WAPENDANO AWAMI & BARKHE, BRIDAL MAKEUP IMEFANYWA NA ASILABRIDAL PAMOJA NA MAIDS WAKE, ALIYEMVISHA BI HARUSI NI TWAIBA COLLECTION, KAZI ZAO NZURI SANA, STILL PICTURE IMEFANYWA NA MASHUGHULIBLOG NENDA NA PICHA KUONA ZAIDI....

 
Waalikwa wakisaini kitabu cha wageni
Awami & Barkhe Wakiingia Ukumbini
MC
 Mariam akikaribisha wageni
Intro....////
 Decor...///Mapambo
Awami & Barkhe wakivishana pete
CAKE
 Burudani
 
Chakula
Maarusi wakitoa souvenirs kwa waalikwa
ZAWADI HIZI ZIMEFUNGWA NA SILMAL INVESTMENT, UKITAKA KUFUNGA ZAWADI ZAKO KATIKA KIWANGO CHA JUU WAONA SILMAL BONYEZA HAPA KUONA KAZI ZAO SILMAL INVESTMENTS
Hongera & Zawadi
 MR & MRS KIKULA WAKIWAPONGEZA MAARUSI
 WAFANYAKAZI WA MOHAMED ENTEPRISES WAKITOA ZAWADI

WAFANYAKAZI WA MOHAMED ENTERPRISES WAKIKABIDHI CHEQUE
 MARIAM & MASOUD WAKITUNZWA NA KUFUTWA JASHO
 BARKEH AKICHEZEA DOLLAR.....!!!
 MR. & MRS KIKULA WAKIONGEA NA MAARUSI
Nyuso
MARIAM & HUBBY MR. KIKULA
MARIAM PENDEZA SANA MAKEUP & GELE BY ASILA BRIDAL
MARIAM & KIJANA WAKE...!!! HONGERA SHOSTI!!!
MR. MASOUD KIKULA
BROTHERS!!!
MARIAM NA MKE MWENZA
 Barkeh & Shem
 MR. MASOUD KIKULA, KAKA YAKE BWANA HARUSI
MAKEUP BY ASILA BRIDAL
 
Red Carpet

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

  1. Bw & Bi harusi wamependeza sana,chezea mariam kikula weye, ametokelezeaje,mwenyezi mungu akuzidishie na akupe na zaidi ya hapo, mwaaah,mama mdogo

    ReplyDelete
  2. Maasha allah, ni nzuri na maharusi ni wazuri. MUNGU AWAPE MAISHA MAZURI,AMANI NA UPENDO KATIKA NDOA YENU. AAAMYN.

    ReplyDelete
  3. hongera classmate udom 2013,ds tupo juu

    ReplyDelete