Bride ::Mwanakheri
Event ::Kitchen
Party
Venue ::Mango
Garden
Colour ::Black, Blue, Gold & White
Cake ::
MC ::Jamila
Kitmtim
Caterer ::
YES!! NI KITCHEN PARTY YA MWANAHERI HAPO MANGO GARDEN, MC JAMILA AKITUONGOZA IPASAVYO, SARE YA ZEBRA PENDEZA SANA.....!!!
MC JAMILA KITIMTIM KATIKA KAZI
SWAGGA ZA UKWEE'E
WAZAZI WAKIINGIA
MWANAKHERI AKIINGIA, MAMA MZAZI AKIMPOKEA BINTI YAKE
DECOR...//MAPAMBO
ZAWADI
MWARI LAZIMA AFICHULIWE...!!!!
MAMA MZAZI AKMFICHUA BINTI YAKE
MAMA MKWE AKIMFICHUA MKWEWE
ODO HUSNA AKIMFICHUA MWANA...
INTRO....!!!!
KAMATI IKIJONGEA...
MWENYEKITI AKIKARIBISHA WAGENI
CAKE
CHAMPAGNE
ZAKIA AKIMUINGIZA BI HARUSI NA NGUO YA PILI
ZAWADI
MAMA AKIONGEA KABLA YA KUMPA BINTI YAKE ZAWADI
MAMA AKIPELEKA KAPU LAKE
MAMA AKIPELEKA SANDUKU
KISHA AKAENDA KUKABIDHI ZAWADI YA KITANDA
MAMA NA MWANA
WAKWE WAKIPELEKA ZAWADI
BIBI AKIMTUNZA MJUKUU
WAFANYAKA WENZAKE MAMA MZAZI TKA MANISPAA YA ILALA WAKIPELEKA ZAWADI
WATER DISPENSER
VYOMBO VYA JIKONI
MAMA MZAA CHEMA AKIFUTWA JASHO
HUSNA MADENGE AKIKABIDHI KABATI
ODO HUSNA WAZIRI AKIENDA KUKABIDHI ZAWADI NA KAMPANI YAKE
HUSNA AKIKOSHWA
SITTU MWASU AKIMKOSHA HUSNA
FATMA MSOMALI AKIMKOSHA HUSNA
TANT BOY SUPER STAR AKIMKOSHA HUSNA
MC JAMILA AKIMKOSHA HUSNA HAPANA CHEZEYA
JOKHA AKIMKOSHA HUSNA
SHUU AKIMKOSHA HUSNA
HUSNA & SHOSTI WAKE FATMA
SHARIFFA MUKE YA MOODY MADENGE PENDEZA SANA
FATMA AKIMKOSHA HUSNA
MAMA MADENGE AKIMKOSHA HUSNA
HUSNA AKIFUTWA JASHO NA WIFI ZAKE WA UKWEE'E
MWANA AKIWAPA ZAWADI MAMA NA MAMA MKWE WAKE
NYUSO
MANISPAA YA ILALA TISHA SANA
SITTU NA SHOSTITO WAKE
MADENGE FAMILY
SHUU, HUSNA MADOHORA, TANT & SITTU
MAMA MZAA CHEMA
ZAKIA & WIFIS
ROSE MBAGA, KIEDE & FRIEND
HUSNA & HAPPY
HUSNA AKITAMBA NA WIFIS
HUSNA & FATMA
WAKWE
TANT BOY SUPER STAR
SHUU, HUSNA & TANT
CHAKULA
RED CARPET
Hongera bi harusi ila umechoka! mola akujaalie uzae salama
ReplyDeleteMboan Husna Madohora hakupewa nafasi ya kutunza??????
ReplyDeleteSherehe ilipendeza, watu wote walipendeza. Bi Harusi kila la kheri.
ReplyDeletependeza mwanaheri
ReplyDeleterehema-shy
Mwanangu mwanakheli umependeza sana....by odo yako lilah banta
ReplyDelete