WASHIRIKI WA MISS TANZANIA WACHANGAMKIA SALE YA S&D COLLECTION BOUTIQUE!!!!!, MDHAMINI MWENZA WA MISS TANZANIA 2014

Duka la nguo la S&D Collection Boutique ni moja kati ya wadhamini wa shindano la Miss Tanzania 2014, wametembelewa na baadhi ya warembo wa shindano hilo mwaka huu, Mkuregenzi wa duka hilo Devotha Mntambo aliwataka warembo hao kutambua thamani ya unadhifu wao na aina na ubora wa mavazi wanayovaa. alisema kuwa duka lake linatoa udhamini wa mavazi kwa asalimia 90 ambapo washiriki wote watavalisha mavazi ya evening dress na beach wear toka S&D Collection Boutique
Mkurugenzi Devota alisema kutambua hilo duka lake limeamua kudhamini shindano hilo kwa kuwapatia nafasi mbadala kupendeza na kusimamia dhana halisi ya urembo
"Sisi  katika duka letu la hapa Mikocheni tuna kiasi sana cha nguo za kisasa na za kila aina, huku duka letu la mjini ndio usiseme kuna kila kitu" alisema Devotha.
aliongeza "warembo hamtakiwi kuwa na wasiwasi katika suala zima la muonekano kwa kuwa kila kitu kinakuwa sawa chini yetu sisi kama wadhamini wenu"
Warembo hao walipata wasaha wa kununua nguo kwa bei rahisi ya punguzo asilimia 40-60, ofa ambayo itakwisha 03-09-2014
 WAFANYAKAZI WA S&D COLLECTION BOUTIQUE WAKIKARIBISHA WAGENI 
 NGUO ZILIZOMO KWENYE OFFER
BAADHI YA WATEJA WAKICHAGUA NGUO
 MKURUGENZI WA S&D BOUTIQUE, DEVOTA  NA MRATIBU WA MISS TANZANIA MAKOYE WAKIONGEA NA BAADHI YA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA
 DEVOTA AKIMTAMBULISHA MKURUGENZI MWENZAKE 
BAADHI WA WAFANYAKA ZI WA S&D BOUTIQUE
MKURUGENZI WA S&D BOUTIQUE DEVOTA , AKIWAONYESHA WASHIRIKI NGUO ZINAZOPATIKANA S&D COLLECTION NA UBORA WA PRODUCT ZAO
BAADHI YA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA WALIPATA
 
 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. wow S&D ipoo juu pata vivalo nyenye ubora.

    ReplyDelete
  2. S&D collection mpo juu na hongereni sana.

    ReplyDelete