Sponsor

MISS ILALA LEO @KEMPINSKI

2:10:00 PM


 BENDI ya Yamoto inayoongozwa na Dogo Asley itatumbuiza kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka Mlimbwende wa Wilaya ya Ilala, kesho.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, mratibu wa shindano hilo Juma Mabakila alisema kuwa bendi hiyo itaungana na wasanii wengine ambao watasimamia gurudumu la burudani siku hiyo....kusoma zaidi HABARI5BLOG

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.