Bride ::Mwahija
Groom ::Abdul
Kimanga
Event ::Wedding
Reception
Venue ::Goldeni Jubilee Tower
Cake ::Monica
Color ::Red & Gold
Makeup ::Maznat
Bridal
Dressedby ::Evecollection
Yes!!! ni zamu yao Abdul & Mwahija, hongera kwa new couple in town, Abdul akiwa na swagga za marine's pendeza sana bi harusi Mwahija kavishwa na designer wa ambaye hakosei lazima upendeze Eve-Collections, maids walinoga sana wakiwa wamevishwa na Maznat Tailoring, wakiingia kwa furaha huku wakisindikizwa na team ya Respect DJ's ni sherehe ya kwanza kuhudhuria na MC's wengi na wakubwa, waweza sema ni Naija..!!! Abdul Kimanga ni mmliki wa Respect DJ's & blog ya Shereheyetu, Hongera my fellow blogger....



MC Pilipili & friend
Maznat
Respect DJ's Crew
Decor....///Mapambo
MC Cheni & Harris Kapiga
Mwahija na wakwe zake
Bi harusi na wazazi wake
Groom alichezaje 
Dress code eeh!!!
Abdul & Mwahija wakivishana pete 

Cake
Abdul & Mwahija wakikata cake 
Mzee Kimanga, baba mzazi wa Abdul
Mama mzazi wa Abdul, mama Kimanga
Kaprndeza biharusi
ReplyDeletemmependeza jamani
ReplyDeletethe wedding ilipendeza sana na tulibahatika kuwepo wote tulifurahi kwani program ilikuwa safi.
ReplyDeleteBwana ba Bibi harusi twawaombea ndoa ya furaha na Amani
Jamani huo ukumbi ulipendeza sana, naomba kujua jina la mpambaji tafadhali
ReplyDelete