ONJA::: ANITA's SENDOFF PARTY @ KIRAMUU HALL!!!!

I am speechless, mmmh!!!!! nimekuonjesha tu zaidi ongea wewe mdau wangu, Anita kapendeza .....

  Decor...//Mapambo ya ukwee'e
 Anita akifurahia cheque toka kamati 5M
 Wamenogaje??? 
 Sisterz wa ukwee'e

 Anna, Florida & Lilian, LADY BOSS
 Julie, Jack Kim & friend
MC kolumba akidance
 Wazazi wa Anita
Anita na mchumba wake unamjua???

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. hii shughuli imenitoa roho very classic mapambo, make up mavazi perfect Anita uko juu umependeza sana ulijipanga shughuli yako Kiramuu hadi ikabadilika km siyo ile niliona hata kitchen party safi sana nasubiria harusi nadhani ndo itafunga kazi. All in all Mungu akubariki katika ndoa yako mamie.

  ReplyDelete
 2. Picha ni nzuri sana. Anita nakutakia kila la kheri na baraka katika harakati za kuelekea kwenye ndoa. Mungu akubariki sana!!!

  ReplyDelete
 3. Masha Allah itabidi tuwasiliane
  From Zanzibar

  ReplyDelete
 4. Anita ni mrembo sana then hana makuu nakapendaga tu, nakuombea mumewako awe kama wewe.

  ReplyDelete