ZENABIA's KITCHEN PARTY!!!!!

BRIDE                          ::ZENABOA NGONYANI
EVENT                         ::KITCHEN PARTY
THEME                        ::NAIJA SWAGA
VENUE                         ::LULU HALL
COLOR                        ::PINK, RED, PURPLE & L.BLUE
DÉCOR                        ::LULU HALL
CATERER                    ::TALMA CATERER
MAKEUP                      ::DAGE SALOON
YES!!! NI KITCHEN PARTY YA ZENABIA, THEME NAIGERIAN SWAGGA HAPANA CHEZEYA, VICTORY GROUP NA SARE YA KITENGE CHA NYOTA NYOTA CHAIFUNIKA SARE, BI ARUSI KAPENDEZA SANA MAKEUP & HAIRSTYLE DONE BY DAGE SALOON PLE AFRIKA SANA MWENGE, TUMENZA KUONA KAZI NZURI YA DAGE SALOON...!!!

MC
JULY AKIMUINGIZA MAMA MZAZI...!!!
BI ARUSI AKIINGIA
KAMATI ILIYOANDAA SHUGHULI
MWENYEKITI WA KAMATI AKIKARIBISHA WAGENI
INTRO...!!!!
DECOR
HAPANA CHEZEYA JULY WATU WALIKIMBIA WENYEWE
ZAWADI
CAKE
NI CAKE YA KWANZA YA KITANDA KUONA KUBWA MFANO WA KITANDA,
CHAMPAGNE
ZENABOA AKIGONGA GLASS NA MAMA MZAZI
BURUDANI
ZAWADI
JULY AKIKABIDHI ZAWADI YA MAMA NA BABA...!!!
JULY DADA WA BI ARUSI AKIMPA ZAWADI
AKIMKABIDHI JIKO
WANAKWAYA WA KWAYA KUU KANISA LA KKKT KIJITONYAMA WAKIENDA KMPA ZAWADI ZENABOA BI...!!!  JULY ANAMWAIMBIA BWANA KATIKA KWAYA KUU
 VICTORIA WOMEN GROUP WAKIPELEKA ZAWADI KWA BI ARUSI
 MWENYEKITI WA VICTORIA WOMEN GROUP AKIKABIDHI ZAWADI
KITENGE CHAO CHAFUNIKA....!!!
KISHA WAKAMKOSHA KWA DOLLAR, MKO JUU VICTORY GROUP
JULY AKITUNZWA KWA FUJO....
JAMILA AKIMPA ZAWADI YA COOKER ZENABOA
CLARA AKIENDA KUMPA BI ARUSI ZAWADI YA SOFA SET
JACK AKIWAPA ZAWADI DADA ZAKE AMBAO WALIKUWA NAO BEGA KWA BEGA
SAA YA BOSS LADY....!!! PIGA KELELEEEE!!!!
JULY AKIKOSHWA...!!!
JACK KIM UKO JUU!!!!
JACK AKIMKOSHA SHOSTITO...WA UKWEE'E MIAKA 800
ASHLEY AKIKABIDHI ZAWADI
CHAKULA
NYUSO
SISTERZ FOREVER!!!!
JULY DADA YAKE BI ARUSI ZENABOA
MAMA MZAZI WA BI ARUSI
JULY & FRIEND
I'M SURE UMETUONA EEH!!
MAMA NA MWANA
BOSSY LADY LILIAN
WAJINA & BINTI YAKE MREMBO
MAMA NA WATOTO
ASHLEY, KHADIJA & FRIEND
HAPPY & NOUR SAGAAF
NYOTA & SALMA
ZENABOA & DAGE, MAKEUP ARTIST WAKE
HAPPY PENDEZA SANA!!!
DAGE & LONDA FROM AMERICA
JACK, NYOTA & SALMA
WATU KWA RAHA ZAO
HAPPY
ASHLEY

KARAMUNA FAMILY
LILIAN BOSS LADY & FAMILY
RED CARPET
SWAGGA


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. Julie uko juu, shughuli ni watu na watu ndio hao

  ReplyDelete
 2. Aminia mdogowangu July shughuli ilipendeza sanaaaaaa!jitoe watajitoa pia hongera sana kumpenda mama pia

  ReplyDelete
 3. Shughuli pambe hongera kamati

  ReplyDelete
 4. Du shughuli ilikuwa saafi, wote mumependeza sana. Mababy wote mnawaka waka.

  ReplyDelete
 5. HONGERA SANA SHOSTITOOOOOO

  ReplyDelete
 6. shughuliilikua pambe si mchezo. mashaallah!

  ReplyDelete