Sponsor

TANGAZO LA MSIBA-HADIA (MAKAMBI) KIHAGO JUMBE!!

3:50:00 AM

Familia ya marehemu mzee  Kihago Jumbe wa Arusha Pangani mjini, wanasikitika kutangaza kifo cha Hadia (Makambi) Kihago Jumbe kilichotokea leo alfajir July 10, 2014 Dar es Salaam, Mwili wa marehemu utasafirishwa leo kuelekea Arusha, Mazishi yamepangwa kufanyika kesho Ijumaa tarehe 11-07-2014 Arusha Mjini baada ya swalat I'jumaa 
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Mzee KIhago, Pangani Arusha.
  
INALILAHI WAINAILAIHI RAJIUN!!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.