Sponsor

KIJUMOZ FUMIGATION & CLEANING YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA!!!

12:27:00 PM

 Mkurugenzi wa Kijumoz, Mohamed Jumbe (kulia), akikabidhi misaada kwa katibu wa kituo cha Watoto Yatima cha Chakwama, Hassan Hamisi.
KAMPUNI ya Kijumoz Fumigation & Cleaning ya jijini Dar es Salaam jana ilitoa msaada wa vyakula na vinywaji kwenye kituo cha watoto Yatima cha Chakuwama kilichopo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam.
Akizungumza kwenye hafla hiyo fupi Mkurugenzi wa Kijumoz, Mohamed Jumbe, alisema, kampuni yake imeamua kuungana na Watanzania wengine kuhakikisha wanawasaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali ambavyo ni muhimu kwa matumizi yao.

 Mkurugenzi wa Kijumoz, Mohamed Jumbe, akimpatia mtoto zawadi ya tende.
 Baadhi ya waandishi wa habari wakihojiana na Jumbe baada ya kukabidhi msaada huo.

 Baadhi ya vitu vya msaada vilivyotolewa jana.
Hassani Hamisi akishukuru baada ya kupokea misaada hiyo.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.