Sponsor

TANGAZO LA MSIBA - MOHAMED SAID MBWANA!!

12:55:00 AM

Familia ya marehemu Said Mbwana na Kihago Jumbe wa Arusha mjini, wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Mohamed Said Mbwana kilichotokea leo asubuhi Arusha mjini, Mazishi yamepangwa kufanyika leo Jumamosi baada ya swalat A'lasir 

Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Mzee KIhago, Pangani Arusha


INALILAHI WAINAILAIHI RAJIUN!!!

You Might Also Like

1 comments

  1. Mungu ailaze Roho ya kaka yetu pema peponi, jamani alikuwa jirani yangu Mtaa wa Pangani Arusha.

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.